Prof Thabo Mbeki ndani ya Nkrumah Hall-UDSM, Nov 22

Az 89

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,658
691
jamani samahani mwenye habari kamili atujuze, nimepita maeneo ya chuo kikuu, bahati mbaya nilikua kwenye gari, atatoa mhadhara kuhusu siasa za Afrika.saa 9 mpaka 11 jioni..
Nawasilisha.
 
Ni kweli.Ni kesho.hoja yake ataielekeza katika kumzungumzia JK Nyerere kama shujaa wa Afrika.Watakuwepo pia akina Prof.Issa Gulamhussein Shivji,Joseph Butiku na mwenyeji wao Prof. Rwekaza Mukandala.
 
tengeneza habari ieleweka kama kilivyo kichwa cha habari
 
Ni kweli Rais Mstaafu wa RSA ndugu Thabo Mbeki atakuwa na mhadhara wa wazi pale Nkurumah Hall kuanzia saa 9:30 jioni leo (22.11.2012). Mada yake ni juu ya miaka 100 ya ANC na mchango wa Julius Nyerere katika harakati za ukombozi barani Afrika.

Karibuni sana!
 
Nakumbuka alipokuja Nkurumal hall wakati akiwa Rais alisema Nyerere alimpa uraia wa kudumu wa Tanzania ,.Siku hiyo kulikuwa na joto sana akaamua kuvua koti lake na shati yake nyeupe ilikuwa imegandamana na mwili wake kwa jasho. Naomba hapo kesho mwekee angalau feni jamani maana joto ni kali DSM
 
Mbeki ni mmoja wa viongozi wa Kiafrika wenye kujua umuhimu wa kuwa na fikra huru, sijawahi mwona akipepea juu ya farasi ama akibembea kama yule Chief Mangungo wa Msoga
 
Nakumbuka alipokuja Nkurumal hall wakati akiwa Rais alisema Nyerere alimpa uraia wa kudumu wa Tanzania ,.Siku hiyo kulikuwa na joto sana akaamua kuvua koti lake na shati yake nyeupe ilikuwa imegandamana na mwili wake kwa jasho. Naomba hapo kesho mwekee angalau feni jamani maana joto ni kali DSM

Umenikumbusha. Ulikuwa mhadhara mzuri. Natumaini waandishi wetu wamejipanga kupata exclusive interviews.
 
Nakumbuka alipokuja Nkurumal hall wakati akiwa Rais alisema Nyerere alimpa uraia wa kudumu wa Tanzania ,.Siku hiyo kulikuwa na joto sana akaamua kuvua koti lake na shati yake nyeupe ilikuwa imegandamana na mwili wake kwa jasho. Naomba hapo kesho mwekee angalau feni jamani maana joto ni kali DSM
Sure mwana nakumbuka sana sikuhiyo.
 
Ni kweli Rais Mstaafu wa RSA ndugu Thabo Mbeki atakuwa na mhadhara wa wazi pale Nkurumah Hall kuanzia saa 9:30 jioni leo (22.11.2012). Mada yake ni juu ya miaka 100 ya ANC na mchango wa Julius Nyerere katika harakati za ukombozi barani Afrika.

Karibuni sana!

Thanks kwa taarifa iliyonyooka mkuu. Hivi the former SA President Thabo Mbeki ni Profesa au ni kiwewe tu cha mleta mada?

Ni muhimu sana Lecturers wa Muslim University - Morogoro, An-Nuur, Radio Imaan, Sheikh Ponda, Farid, et. al. wahudhurie huu mhadhara wapate vitu vilivyoenda shule badala ya stori za vijiweni na uchochezi usio na maana.
 
nyie wapuuzi mnaopendwa kutafuniwa kila kitu, ndio maana Kikwete anawatafuna..sio lazima habari nzima..by the way ntahudhuria.
 
Back
Top Bottom