Dr Jakaya atakuwepo?
Dr Jakaya atakuwepo?
Mkuu huyu dr dr dr dr wetu, kama hakutakuwa na mahojiano au mjadala anaweza akawepo, lakini kama kutakuwa na mjadala na kuulizana maswali sahauDr Jakaya atakuwepo?
Huyo u-Dr wake hauna tofauti na wa majimarefu.Dr Jakaya atakuwepo?
Yaani hata wewe msomi wa UDSM unashindwa kutengeneza sentensi inayoongea?
Nakumbuka alipokuja Nkurumal hall wakati akiwa Rais alisema Nyerere alimpa uraia wa kudumu wa Tanzania ,.Siku hiyo kulikuwa na joto sana akaamua kuvua koti lake na shati yake nyeupe ilikuwa imegandamana na mwili wake kwa jasho. Naomba hapo kesho mwekee angalau feni jamani maana joto ni kali DSM
Dr Jakaya atakuwepo?
Ni kweli Rais Mstaafu wa RSA ndugu Thabo Mbeki atakuwa na mhadhara wa wazi pale Nkurumah Hall kuanzia saa 9:30 jioni leo (22.11.2012). Mada yake ni juu ya miaka 100 ya ANC na mchango wa Julius Nyerere katika harakati za ukombozi barani Afrika.
Karibuni sana!
Sidhani kama atakuwepo, atakuwa hajaenda kuhudhuria mazishi ya yule aliyekufa afu yuko hai kule LAMADI!???
Dr Jakaya atakuwepo?