Prof>Tetesi!!!!!!!! Maboko kuwa Mkurugenzi wa Elimu ya Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof>Tetesi!!!!!!!! Maboko kuwa Mkurugenzi wa Elimu ya Juu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Meshe, Jul 19, 2012.

 1. Meshe

  Meshe Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 25
  Naomba kama kuna mdau mwenye taaifa sahihi amwage hapa.
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  sasa unamuuliza nani hali wewe ndiyo umetuletea umbea? by the way mkurugenzi wa sasa amezaa na maboko ina maana inamuachia mzazi mwenzie?
   
 3. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sema ulichosikia...?? Ni Makenya gani huyo?? Au Prof. Makenya Maboko - DVC (ARC) wa UDSM???
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,884
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kama ni yeye itajulikana tu, hakuna haja ya haraka
   
 5. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Turudishieni hadhi ya JF
   
 6. T

  Tenths Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Acha mbombela bwana.
   
 7. D

  Determine JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hafai hata kuendelea kuwa DVC-ARC. anafukuza vijana wetu kwa maelekezo ya dhaifu
   
Loading...