PROF.SOSPETER MUHONGO AWAKOSHA WATANZANiA W

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,590
20,899
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU
 
Je kwa sasa kauli ya baba wa taifa nyerere imepata majibu? tusichimbe hatuna uwezo. Na kama wapo, dhamira. yao ina onyesha. kuinufaisha Tanzania?
 
sasa ni wakati muhafaka kwa wawekezaji wa ndani hasa ""prof.Reginald mengi"" kutuvua aibu hii watanzania eti kwamba hatuna uwezo wa kuwekeza ktk miradi mikubwa,ombi langu admitance fee kwa wazawa iwe affordable and reasonable isiwe sawa na wageni
 
Kaka minimum pesa per kitalu ni USD 10B, Hafu Mengi R. utajiri wake according to Forbes Nov 2013 ni USD 550M.
 
Prof mhongo nizaidi ya udk wa slaa na uprof wa lipumba

yupo vzuri

alikuwa akiandika pepa ulaya maendeleo ya sayansi yatakavyo kuwa miaka elfu 3 ijayo

kabla ya kulalamika soma uelewe
dimumu ccm
 
Nina shaka kwa kuwa mwanzoni alishaweka kikwazo waziwazi kuwa wazawa hatuwez, Leo akisema mwenye kutimiza vigezo afike ofcn bado hatuna imani kuwa vigezo vimewekwa ili kumwezesha mtz ama kumfanya ashindwe. Tunawezaje kuwa na vigezo vya kumiliki ilhali hatuna sera ya kusimamia rasilimali nyeti kama hii?
 
Huo ni ulimbukeni wa madaraka tanzania kuna watu hawajui hata kama daraja la kwanza kwenye ndege kwanza hiyo tiketi alilipa au kodi za wananchi
 
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU

Hopeless Muhongo, kwa vile watanzania hawana fedha ya kuwekeza, ndio anahalalisha maliasili zetu kupoolwa kutuachia mashimo. Mnamsifia kwa lipi katika hotuba yake ya leo. nilidhani ataongelea namna ya kuwawezesha watanzania wachimbe! Nyeree alisema myaache mpaka hapo mtakapokuwa tayari. Au kuwer na win win situation. critically thinking mind inayojali maisha ya watanzania hawezi sifia hotuba ya kibepari kama hiyo
 
hana lolote huyu profesa mim nlikuwepo pale kaongea kwa zarau sana na kuwabeza wakna mengi na mtatiro

tu
 
Prof mhongo nizaidi ya udk wa slaa na uprof wa lipumba

yupo vzuri

alikuwa akiandika pepa ulaya maendeleo ya sayansi yatakavyo kuwa miaka elfu 3 ijayo

kabla ya kulalamika soma uelewe
dimumu ccm

Ndoto za alinacha ambazo hazina scientifdic proof. Walikuwa wanajadili "theoretical mathematical models" ambazo ni ndoto. kumbuka kuna mathematician mmoja aliandika mathematical model iliyoonyesha kuwa by 2015 Africa itapoteza 3/4 ya watu waliokuwapo wakati ukimwi unaingia! Meaning kuwa sasa hivi Afrika ingekuwa haina watu au kidogo sana. kinyume kuna mlipuko wa watu Afrika sasa pamoja na ukimwi. Hjvyo Muhongo alikwenda kupiga porojo za mathematical modelling!
 
Nasema, ningekuwa CCM leo hii ningeanzisha maandamano ya kumtaka JK amtimue leo leo kabla hajafika home. Kama kweli JK anaitakia CCM mema, amtimue huyu, mchochezi na mzushi, Prof. Muhongo.
Just imagine, anatoa masaa 4 mtu ajiandae na writeup ya mabilioni ampelekee. Huu ni ukichaa kabisa. Hao wazungu wake aliwapigia simu na kuwaambia watumie hayo masaa? Kesho ni holiday, huyo mzawa atapatapi hizo data?
Halafu mabuku 7 yanakenua mimeno humu kufurahia hotuba ya kipuuzi kama hii. Shame on yu.
Gas ni mali ya Watanzania, angekuja na mpango hata wa kuonesha ni vipi Mtwara watafaidi kuchimba hata wao pia. Hata kama ni kuingia ubia na hao wenye uwezo, kingeniingia akilini. Kinyume cha hapo nasema, UPUUZI MTUPU. Tz tumeliwa tu
 
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU

Binafsi nampongeza prof kwa ufafanuzi wa kina na makini alioutoa nilimsikiliza kwa makini sana na kwakweli amekata kiu ya wananchi wengi sana
Kwa mtazamo wangu nadhani bado yapo maeneo mengi tu ambayo sisi kama watanzania wazawa tunaweza kuwekeza ili kuzivuna rasilimali zetu na kunufaika nazo
Kubwa nililoliona ni kwamba wawekezaji wandani wanachokiomba ni kudhaminiwana serikali kwa wenye mapesa mengi popote pale duniani ili tuwekeze na sisi kwenye gesi na tuweze kuendesha makampuni haya wenyewe pasipo hawa wageni (sijui kama mnanielewa namaanisha nini hapa) Lakini kwakweli hiyo ndio nia ya watanzania walio wengi
Tusibakie tu kuwa vibarua kwenye haya makampuni
 
NAPENDA KUMPONGEZA PROF. S MUHONGO KWA UFAFANUZI WAKE MAKINI JUU SUALA ZIMA LA VITALU,MAFUTA NA GESI, LA MNO KUBWA ZAIDI NI KWA MTANZANIA YEYOTE AMBAYE ANAONA ANAUWEZO WA KUMILIKI VITALU AFIKE OFiSINI JUMANNE SAA 3 ASB,AKIWA NA VIGEZO VYOTE STAHILI,KAZI KWENU

Zuga tu leo Amekuwa Khadija kopa alikuwa anamwandama mzee mengi na kujisifu popo tu
 
Nasema, ningekuwa CCM leo hii ningeanzisha maandamano ya kumtaka JK amtimue leo leo kabla hajafika home. Kama kweli JK anaitakia CCM mema, amtimue huyu, mchochezi na mzushi, Prof. Muhongo.
Just imagine, anatoa masaa 4 mtu ajiandae na writeup ya mabilioni ampelekee. Huu ni ukichaa kabisa. Hao wazungu wake aliwapigia simu na kuwaambia watumie hayo masaa? Kesho ni holiday, huyo mzawa atapatapi hizo data?
Halafu mabuku 7 yanakenua mimeno humu kufurahia hotuba ya kipuuzi kama hii. Shame on yu.
Gas ni mali ya Watanzania, angekuja na mpango hata wa kuonesha ni vipi Mtwara watafaidi kuchimba hata wao pia. Hata kama ni kuingia ubia na hao wenye uwezo, kingeniingia akilini. Kinyume cha hapo nasema, UPUUZI MTUPU. Tz tumeliwa tu
kitaambo nilishawaambia kuwa mwafrika usimwamini hata ukiambiwa ni Prof, Muhongo anadhihirisha hili, prof jina!! Teh teh
 
nampenda Prof Muhongo,kwani hana mambo ya rugha za kulemba,ambazo watanzania tunapenda kuzisikia,tuliambiwa tupige mbizi tukalalamika na kuandamana,leo si tunalipa shilingi 200?
sisi hatupendi kuelezwa ukweli,tukubali tu kuwa yatupasa tufunge mikanda.
 
I salute you Prof Muhongo. Ndo raha ya kusoma sayansi hakuna kurembaremba. Siasa na blah blah zimeisha. Huyo aliyeandaa mdahalo kwa ufadhili wa Mengi amefanikiwa kuwasaidia watz kujua kuwa tuna mabepari uchwara wanaomiliki rasilimali nyingi zisizowasaidia watz wenzao. Go on tunahitaji umeme wa uhakika zaidi kuliko porojo za uzawa
 
Back
Top Bottom