-Prof. Sospeter Muhongo amesema kuwa hahusiki na mikataba yote ya madini.

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo amesema kuwa hahusiki na mikataba yote ya madini.
 
Ni kweli prof. Usiwe na hofu mbunge wangu na tutazidi kukupa kura zetu musoma vijijini mpaka utakapoamua kustaafu mwenyewe. Unatuwakilisha vizuri Sana wa mkoa WA mara
 
Alie mwambia anahusika atuambie uhusikaji wake kama mh.Nape alinyooshwa kwa kufuata sheria yeye kama waziri. Hapo JPM inampasa ajue yeye ndio kila kitu wengine wote ni delegates tu.
 
Anahusika maana alilambishwa za escrow kupitia sandarusi
Hii mifuko inaonekana inapendwa sana na watu maana pesa za Escrow zilibebewa humo hata ile miili saba ya Mto Ruvu ilifungwa kwenye sandarusi. Hivi kiwanda chake kiko wapi na nani mmiliki?
 
amtaje anayehusika ila hata kama hahusiki ndio kashatumbuliwa dah ndio tatizo la kufanya maamuzi kwa kukurupuka
 
Nani kamwambia anahusika na mikataba yote? Hata kama ni mmoja tu awajibike period.
 
Back
Top Bottom