Prof. Sospeter Muhongo ameanza kuchafuliwa baada ya kugundua kuwepo kwa miradi hewa kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Musoma.

Mkuu, Muhongo hajawahi kuwa mwizi, ni muhanga wa siasa majitaka, vita yake ilianza alipowadhibiti madalali wa vitalu vya gas.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Ndani ya ccm hakuna wa kumsifia
 
Kwa mtazamo wako lkn watanzania walio wengi hawana imani na ccm
Nikupe ukweli mkavu;
90% ya wabongo wote ni wezi, si upinzani wala ccm.
Hata cdm ikishika nchi ni hawahawa wananchi wataongoza nchi, ccm wengi watahamia cdm na maisha yatasonga.
Kumbuka 2015, cdm ilimchukua EL ambaye tulimwimba kuwa fisadi kuu...siasa kwa wanasiasa ni ajira watu, watanzania ni walewale.
 
Kwahiyo EL leo yupo chama gani? mccm bhana
 
Kwahiyo EL leo yupo chama gani? mccm bhana
Bro sijawahi na siwezi kuwa ccm, kwanini hatuupendi ukweli?
Hii nchi tuna safari ndefu ya kuwa na mizania sahihi, mimi huwa simtetei hata mzazi ikiwa sio mkweli.
Ufike wakati tuukatae uovu kuanzia ndani yako hadi ngazi ya kitaifa.
 
Sawa mkuu Namba7
 
Baadhi ya watanzania fitina sana, mpaka sasa ushangazwa sana na washauri walio mshauri Dk.Magufuli kumwachisha kazi Prof.Muhongo!! Yule MTU kichwa sana, anajiamini sana na anaheshimika kimataifa katika nyanja za taaluma ya jiolojia nk - mbobezi wa design ya Muhongo sio wa kuwekwa bench kwa lengo la ku-promote distant relatives na village mates. Binafsi ningemshauri Madam President amrudishe Prof.Muhongo kwenye kundi kwa manufaa mapana ya Taifa letu, repeat,Prof Muhongo ni asset kwa Taifa letu and not a liability - my opinion.
Jk mwenyewe hakumtaka mrudishe ww ssa kwenye chama chako km msafi
 
Back
Top Bottom