Prof Sospeter M. Muhongo - A suitable candidate for the position of DG of UNESCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof Sospeter M. Muhongo - A suitable candidate for the position of DG of UNESCO

Discussion in 'International Forum' started by Sanctus Mtsimbe, Feb 13, 2009.

 1. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #1
  Feb 13, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  My fellow Tanzanians

  Kindly be informed that the Government of the United Republic of Tanzania has already submitted the name (Prof Sospeter Muhongo) for consideration by the UNESCO Member States for the post of the Director General of UNESCO.

  The suitability of his candidature may be learnt from the attached CV. At the closure (May 2009) of the submission of names of candidates (from UNESCO Member States) for the post, Prof. Muhongo will provide a statement on his implementation strategy for the mandated and expected functions and strategies of UNESCO for the benefit of the global society that lives in peace, cultural and economic prosperity through the utilization of education, science, technology and innovation.

  Humble Request to you: kindly request your Non-Tanzanians friends around the globe to request their Governments to support a very promising candidature and urge their Government to VOTE for the United Republic of Tanzania (candidate: Prof Sospeter Muhongo).

  Please approach and kindly ask them to submit this request to their country’s Ministry of Foreign Affairs and to their country’s Ambassador & Permanent Delegate to UNESCO in Paris (France).

  In home country Tanzania, the Government is already working on it.

  NB: Wazalendo wenzangu, tumuunge mkono na kumwombea ndugu yetu.

  Kinachonipa faraja ni kuwa kuna Watanzania makini ambao wao wanafanya vitu vyao vya kitaaluma kiuhakika bila longolongo.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  kwa kweli hicho kidume kinafaa, Cv yake sio mchezo, by sure atachukua tu
   
 3. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #3
  Feb 14, 2009
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Fore those who do not know Prof Sospeter M. Muhongo (Dr.rer.nat.)
  (FAAS, FGSAf, FGIGE, FTWAS, FCAGS, MASSAf, FGS, CGeol, EurGeol.) is currently based in Pretoria, South Africa, where he is the first and founding Regional Director of the International Council for Science Regional Office for Africa (ICSU ROA, www.icsu-africa.org/www.icsu.org.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Let's be real,

  Ninavyofikiri mimi,hizi posts hapo UN, Secretary General included zinaenda kisiasa/ regional rotation/ quota zaidi na Tanzania imesha exhaust quota yake kwa Mama Migiro na Tibaijuka UN-HABITAT.

  Hivyo itakuwa vigumu kumchomeka Mtanzania mwingine post ya juu kama hii, lest watu walalamike Watanzania wanapendelewa.

  Just my thoughts.
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  kwa nini akaikimbia nchi asitumie CV yake kuwasaidaia Watz ndani ya nchi?
   
 6. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280

  Bwana Kiranga, your thoughts are misguided kidogo. Hapa Migiro na Tibaijuka..hawahusiki kabisa.

  Kwanza tumpongeze mbongo mwenzetu kwa hii examplary professional and personal accomplishments. Hongera Prof. Muhongo!

  What I know: UNESCO, FAO, WHO NK haya ni mashirika tofauti na UN..yanakuwa ni technical agencies za UN lakini zinajitegemea kwa kila kitu..mode of formation, financing, election of its directors etc. Kwa mfano hapa...huyu bwana candidature yake has got nothing to do with the UN or the General Assembly. Jamaa atachaguliwa na State parties WA MKATABA WA UNESCO. The same kama Tanzania tukitaka mtanzania awe CHIEF PROSECUTOR WA ICC (international criminal court) hapo baadaye (2013)..hapa tutafanya campaign kama kawaida...na wahusika wakuu ni zile nchi 108 ambazo ni wanachama wa mkataba wa Roma..unaoanzisha ICC.... Tofauti na mtu kama Ban KI-Moon aliyechaguliwa na UN au boss wa UNHCR au UNDP..hawa wanaangalia geographical distribution....maana haya mashirika yanakuwa funded na UN perse..wakati UNESCO, WHO, FAO..yanakuwa funded na member states walioyaanzisha..

  Mhongo can get this post very well, kwanza atakuwa mwafrika wa kwanza baada ya mda mrefu sana kupata hii nafasi, na kama Africa iki-vote as a block, its very easy ku-lobby kwa wenzetu wakamsupport. Kitu kikubwa kama ulivyosema election za UN system in politics. Ndo maana unaweza kukuta tuna waafrika wengi huko juu lakini hawana maamuzi kwa sababu wanaofanya maamuzi (technical staff) ni wazungu ambao ndo wamejazana humo katikati kwa sababu ya geographical distribution na sheer money they put in the UN.

  So Muhongo, has a good chance, kama Tanzania yetu itapiga diplomatic coup. Infact, this can be a signature work of Membe, maana unlike Migiro au Tibaijuka WALIOTEULIWA huyu anatakiwa kupigiwa kura..kwa hiyo ni lazima diplomats wetu wafanye campaign kupata kura za kutosha. Tuanzie Addis Ababa, AU wawe nyuma yetu..then Iam sure we can move forward.

  Otherwise, this task is doable kabisa! And we have one of the very best candidate for the job!

  Kweli huyu bwana anafaa kupewa nafasi ya DG..he deserves!

  Membe na mabalozi wako..fanyeni kazi huyu bwana aende Paris!
   
 7. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  Huyu ana nafasi kubwa but he has done nothing 4 his country!i do not support this MZEE kwenye hii post!
   
 8. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Wabongo bana... Duh!

  Jamani mzee huyu si alikuwa lecturer pale UD kwa miaka kibao? amekuwa mwenyekiti wa bodi kibao..au hamjasoma CV yake? au mlitaka alisaidie taifa kivipi? au hizo kazi hazifai kuwa utumishi wa umma? Jamani lets be fair...mzee ni mpambanaji..alikuwa UD lakini alikuwa anajihusisha na mambo ya nje sana..as you can see from his resume. Au mlitaka awe afisa madini wa wilaya ya Kishapu..ndo mjue kwamba alilitumikia taifa?

  Go mzee Muhongo! with hardwork and prayers, you will get this post!

  Nabii hakubaliki nyumbani! As always!
   
 9. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  kama mtu umjuhi sio lazima ucomment,
  wasomi wa kweli tanzania hawajulikani kwa sababu hawawezi kuingia kwenye siasa na wakiona nchi imewashinda wanaenda zao kwenye nchi au organization zinazojali fikra na mawazo ya wasomi,
  Prof Muhongo kafanya makubwa sana pale UD, 85% ya Geologist wa tanzania wamepata kitu kutoka kwa MZEE huyo,
  research ya Tanzanite pamoja na Kusuggest hilo jina naye alikuwepo kwenye jopo,
  kafanya mengi sana angalia CV
   
 10. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2009
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  First Lady,

  Hata mimi ningefurahi kama angekuwa amefungua hiyo branch ya ICSU Tanzania badala ya ugenini. (By the way, ukisema "...was the first and founding Director of ..." maana yake nini?)

  Na anaweza kutokea opponent wa Kiafrika huko anaejua yanayoendelea Tanzania akam corner ajieleze:

  Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa STAMICO kwa miaka kumi sasa, kwa hiyo madudu yoooote ya ufanisi mbovu, ufisadi lukuki, vifo vya wachimbaji, unyuma wa jamii zilizo karibu na migodi, hasara kwa Taifa ziletwazo na misamaha ya kodi, na ufukara wa wachimbaji wadogo wadodo, yooooote haya yametokea chini ya usimamizi wa bodi ya Wakurugenzi wako, au?

  Utakwendaje wewe mkurugenzi wa bodi ya Wakurugenzi wa STAMICO kuchunguza vifo vya migodini wakati ajali zenyewe inawezekana zinatokea kutokana na uzembe fulani wa STAMICO?

  Na hiyo tume yako ya uchunguzi iligundua nini, na nini kimebadilika?

  Wakati ukiishi nje ya nchi, kwa nini hujiuzulu majukumu yako yanayohusiana na STAMICO, idara ya nyanja muhimu ya uchumi, iliyofeli kazi kwa kila aina ya vipimo?

  Mkeo anaitwa Bertha, ana shahada tatu. Bertha who? Kuliko kuweka shahada za mkeo weka jina lake kamili. Unaionyesha dunia kwamba bado una mfumo dume! Na kijana wako mwenye shahada mbili huyu, info nzuri zaidi hapa ni majina ya hao yatima uwaleao, sio shahada za non-candidate family members!

  La mwisho, kwa sehemu nyingine, mfano USA (na hawa ndo vinara wenye influence ya nani anakuwa nani na nini kinafanyika United Nations na matawi yake), unapo ji-introduce kama professor unajulikana kama ni mwalimu. Hiyo inakushushia executive profile yako kwa sababu unaonekana unajiuza kama mtu wa academia ambae hana executive credentials. Ondoa hiyo professor weka title ya Doctor!
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Feb 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  HiYyo CV yake mbona imekaa kidizaini dizaini. Unless imeandikwa na watu wengine lakini kama ni yeye ndiye aliyeiandika...mmmhhhh.....mambo ya familia kwenye resume yanakujaje sasa...

  Halafu hakuna haja hata ya kuweka hiyo title ya u doctor wala u professor.
   
 12. O

  Ogah JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kwi kwi kwi kwi......This is why I Love JF.........

  Kuhani.......
  .............nakuhakikishia..........umekuwa msaada mkubwa sana kwa Prof Muhong'o.........
   
 13. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Kuhani kwa hapa influence ya USA ni ndogo saana. Hapa watu wanachagua mtu kwa kura za vishindo (ccm style ya kule Chimwaga..). Ingekuwa ni nafasi inayopitia Security Council hapo hatuna la ziada zaidi ya kumsubiri bwana mkubwa anamtaka nani. Hapa members wa UNESCO watakutana Paris..watanyoosha mkono..na atakayepita atapita. Hapa US ana kura moja so is Burundi or Vanuatu! Na wala sidhani kama US wana interests kubwa saana mpaka walaunch diplomatic battle.........

  Hapa ni diplomasia yako tuu..umeshawahi kusikia the "gang of 77" (supported by China) hawa bwana ni masikini..lakini wakiwa General Assembly au kwingineko huwapigi bao ng`o. By the way USA hata membership ya Unesco wamerudi juzi juzi baada ya Regan kuwatoa...so influence yao siyo kubwa sana as we might think.

  Jamani, let the good Professor go and do his things. Resume yake inaonyesha kabisa mzee wa watu kapambana!

  Na kwa style ya resume yake..nampa big up sana....hii siyo CV ya kwenda kuomba kazi kwenye parastatals (national or international)..audiance wake ni ambassadors wanaopiga kura siyo Human Resource managers! Kwa hiyo mzee kajieleza kikamilifu kabisa! Na kwa kazi kubwa kama hii...definitely ndo style inafaa!

  Kwamba hakufanya kitu home? wel, nawaachia wengine..lakini...tusipende kuonea watu....hivi kweli unaweza kumlaumu mwenyekiti wa STAMICO kwa madudu ya hii mining industry? Well...ngoja wanaojua watasema..ila STAMICO is just another "white elephant" standing..sidhani kama ina influence yoyote....

  Kazi ya South Africa..mzee aliomba kazi kama wengine..it is dingenous kufikiri kwamba mzee angeianzisha hii taasisi bongo..nani angeifund?

  Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni...Mzee ameonyesha credibility na competence ya kufanya mambo! His resume speaks loud.

  By the way hii siyo kazi ya KUTEULIWA kama mama zetu Migiro au Tibaijuka! atapambana na vichwa vingine..na kura ndo zitaamua.

  I wish him well,

  Masanja,
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Feb 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Resume inaonyesha hivyo kwenye karatasi. Vipi kuhusu kujieleza? Maana kuna wasomi wengine ukiangalia credentials zao kwenye karatasi mwenyewe utabloo. Mwambie aanze kujieleza au kuelezea kitu...yaani zero kabisa. Mtu unaanza kujiuliza huyu mtu alipatapataje hayo madigrii?

  His resume doesn't say much to me. It's the one on one, face to face, off the top of the head that I care most about.
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  We have a sophist up in here I see.
   
 16. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  NN you cant tell whether this guy is ideal or not, unless wewe ni ambassador wa nchi yako..na utakuwa kwenye voting block huko PARIS in May. Uwe na nafasi ya kumuuliza maswali...

  Yes, CV doesnt say much (as you suggest), lakini si ndo uhuru wa kutofautiana? I dont need kumfanyia interview kusudi nijuwe yuko competent au la...wahusika watakaomchagua ndo wenye jukumu...Na after all, ukiomba kazi..si unatuma CV? wakiichambua wakaona inafaa si ndo unaitwa kwenye interview?..so is Profesa.. hapa..hao mabalozi wataisoma resume yake...na watamtumia maswali (yeye na sponsoring country)...baada ya hapo ndo wataamua wampe kura au vipi...

  Mimi views zangu hapa zinatokana na profile ya huyo jamaa aliyoiweka hapa. Kwamba ni muongo au vipi mimi sijui..

  Hata wewe NN ungeweka yako hapa..ningekutetea au kukuponda based on the available evidence ;-). I cant say kwamba NN wewe ni incompetent/or you might be one..simply because sijaongea na wewe..kama umeweka ushahidi wako wa resume..ni jukumu langu mimi ambaye sikubaliana na wewe kuleta data mbadala kupinga ulichokiweka hadharani...Lastly, who alleges must prove! mnaosema kwamba mzee wa watu hafai (kunradhi NN)..Basi watupe data kwa nini mzee hafai kuwa nominated...

  Otherwise, based on his resume and professional success as shown here, mzee anafaa kuwa DG wa UNESCO.
   
 17. A

  Amelie Senior Member

  #17
  Feb 14, 2009
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee wa structural Geology!kwa kujieleza hapo ndo umefika!kusema ukweli Muhongo anajua vitu na si mbabaishaji!any way na yeye ana mapungufu yake kama binadamu wengine!ila ana nafasi ya kushinda anayo!
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Feb 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Nani kasema "hafai"?
   
 19. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Yote utayajua humo humo kwenye CV. Being a Keynote speaker in an international symposium (not just one, more than that) etc.

  UD kuna maprofesa bongolala, lakini siyo uyu. Huyu ni kichwa kwelikweli ktk vichwa hapa Tanzania, na hasa katika fani yake na sayansi kwa ujumla.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Feb 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Keynote speeches nyingi huwa zinaandikwa. Unakuwa unaisoma hiyo keynote speech. Hukumbuki Sarah Palin alivyo deliver speech yake ktk convention...?
   
Loading...