Prof.simon mbilinyi

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Messages
1,368
Points
2,000

Somi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2009
1,368 2,000
Huyu profesa sijamsikia kabisa kwenye masuala ya siasa au alirudi kwenye taaluma yake? mwenye taarifa atuhabarishe. Huyu jamaa ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wa sasa wenye uchu wa madaraka lakini hawana uwezo wa kuongoza, nakumbuka akiwa waziri wa fedha serikali ya ben mkapa wizara yake ilipatwa na kashfa fulani akakubali kubeba lawama akajiuzulu ni nadra sana kiongozi tanzania kujiuzulu bila kulazimishwa
 

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Messages
1,059
Points
1,225

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2010
1,059 1,225
Kwanza ni mkulima mzuri sana wa mananasi na anafanya biashara nzuri sana ya ku-export mananasi nje na anasupply hoteli nyingi za kitalii Tanzania Bara na Visiwani! Mkewe anaendesha taasisi binafsi, nadhani na Mr. naye yupo humo....Lakini kwa kifupi hana habari na siasa, anakula kivulini!
 

mpingomkavu

Member
Joined
Nov 26, 2010
Messages
96
Points
0

mpingomkavu

Member
Joined Nov 26, 2010
96 0
Huyu bwana ndo mmiliki wa ROYAL KIBADAMO hotel iliyopo karibu na ubungo terminal na GRAND VIEW HOTEL maeneo ya magomeni mwembechai kama sikosei, sijui kwanini hawa akina Edo boy hwajifunzi kwa wenzao,inang'ang'ania madaraka tu
 

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2009
Messages
506
Points
195

Vakwavwe

JF-Expert Member
Joined May 16, 2009
506 195
Huyu bwana ndo mmiliki wa ROYAL KIBADAMO hotel iliyopo karibu na ubungo terminal na GRAND VIEW HOTEL maeneo ya magomeni mwembechai kama sikosei, sijui kwanini hawa akina Edo boy hwajifunzi kwa wenzao,inang'ang'ania madaraka tu
Siyo kweli,hizo hotel ulizotaja ni za wabongo wa kawaida ambao ni wafanya biashara za kawaida na hawana ihusiano wa karibu na prof mbulinyi
 

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,275
Points
2,000

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,275 2,000
Duh!!! Royal Kibadamo inamilikiwa na Mshamba fulani hivi... Maana hayo majina ya Royal Tughimbe,Royal Njombe,Royal Kibadamo... Wakati hata hadhi ya nyota 2 hazina.ni kukashifu jina la Royal....
 

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Messages
4,387
Points
2,000

babu M

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2010
4,387 2,000
ni kazi kubwa aliyofanya AGUSTINE LYATONGA MREMA....."MABOMU YA MREMA"
Duh!umenikumbusha mbali,hii ishu ilianzishwa na Mzindakaya halafu Mrema akairukia baadaye Mzindakaya kuona mambo yamekuwa si mambo akataka kumziba Mrema mdomo lakini akawa kinganganizi mpaka kikaeleweka.
Huyu Mzee kwa siasa za sasa hivi maji taka hawezi.
 

Forum statistics

Threads 1,392,140
Members 528,544
Posts 34,099,760
Top