Prof. Safari ajiunga CHADEMA; akabidhiwa kadi rasmi leo

Sasa mkuu ikiitishwa Press si kwanza zinaanza porojo kabla ya jambo lenyewe?

Hint yangu ilikuwa clear, kuna mtu anahamia CHADEMA leo; muda si mrefu atatajwa na kukabidhiwa kadi yake ya CHADEMA. Najua waandishi humo ndani hawajui, I can bet that

hapa sasa naamini hii ni fools' day's crap.
 
:ranger: Nilikuwa na safari ya kwenda kwa Babu kupata "Kikombe" nimeghairi kwanza hadi nijue kuna nini kipya Chadema
 
Sasa mkuu ikiitishwa Press si kwanza zinaanza porojo kabla ya jambo lenyewe?

Hint yangu ilikuwa clear, kuna mtu anahamia CHADEMA leo; muda si mrefu atatajwa na kukabidhiwa kadi yake ya CHADEMA. Najua waandishi humo ndani hawajui, I can bet that

ina maana hapo ulipo hujaona new face inayaamia cdm? au wamemficha kwanza?
 
Hii inanikumbusha sana siku hii:

DSC09389.JPG

hapo ni wapi?
 
Tunasubiri hiyo habari njema ya Chadema kwa hamu. Ila asiwe Rostam Aziz, huyo atatuchafulia chama chetu.
 
Sasa mkuu ikiitishwa Press si kwanza zinaanza porojo kabla ya jambo lenyewe?

Hint yangu ilikuwa clear, kuna mtu anahamia CHADEMA leo; muda si mrefu atatajwa na kukabidhiwa kadi yake ya CHADEMA. Najua waandishi humo ndani hawajui, I can bet that

Mkuu Invisible hapa hata maji tunashindwa kunywa ni mwendo wa kurefresh tu... kama ni April fools well! umetukamata ila am still waiting..
 
Getting a glimps at knowing the unknown always carry with it the novelty magic power that just can't wait any longer in a person with a kind of sulphuric acid burn inside.

Mzee Invisible bado niko hapa nje nasubiri, mambo mengine yatafuata tu.
 
Siyo Prof. Safari tena?? I hope ni yeye................... itakuwa big boost kwa CDM!!
 
Naenda kunywa chai mie. Huwa nikiwa na njaa nakuwa na vijihasira... waai.
 
Mkuu Invisible wengine hatuajenda kwa babu, BP inapanda na kushuka.
Chonde chonde usijetwambia eti ni 01/04, tafadhali mkuu.
 
Sasa mkuu ikiitishwa Press si kwanza zinaanza porojo kabla ya jambo lenyewe?

Hint yangu ilikuwa clear, kuna mtu anahamia CHADEMA leo; muda si mrefu atatajwa na kukabidhiwa kadi yake ya CHADEMA. Najua waandishi humo ndani hawajui, I can bet that

kaka porojo huwa hazichukui muda mrefu kiasi hiki hasa kwa chama makini kama CDM please bring up the news we are waiting
 
Back
Top Bottom