Prof. Safari aicharukia NEC, aitaka itumie common senses suala la maDED kusimamia uchaguzi

Hahaha mmechoka kushinda bila kushindana, au mnaita kupita bila kupingwa?! Wakikimbia si ndio mnajitangaza mmepita bila kupingwa maana kuna vile vyama vinavyosimamisha wagombea kisha wanajitoa kwa kuunga mkono juhudi ili kubariki ubazazi wa ccm.
Nasari aliunga mkono juhudi za Magufuli?
 
Wakurugenzi kutosimamia uchaguzi hivi ccm kinawauma nini hasa ,kama sio kweli kuwa huwa wanawatumia kuiba kura .
 
Hana hadhi ya kubishana na Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Chadema mbona hamna heshima?
Kwani kesi ya Bob Wangwe imeamriwa na mahakama ya rufaa?
Huyo jaji unayemsema unadhani ametoka mbinguni?
Au unadhani ujaji ni taaluma ya kusomea?
Watu wanahoji mambo ya msingi wewe unaleta maneno yako ya kitchen party!
 
wewe hovio kabisa, nenda shule kwanza, hujasoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom