Prof. Rwekaza Mukandala: Vyama vya siasa vina faida nyingi kwa Taifa, ni vyema kwa chama tawala kuelewa umuhimu huo wa vyama vingi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
mkandala.jpg

Vyama vya siasa vina faida nyingi kwa taifa, ni vyema kwa vyama vya siasa hasa chama tawala kuelewa kuwa uwepo wa vyama vya upinzani ni msaada kwa taifa kwa kuwa ndiyo kama kioo cha kujitazamia.
___
Prof Rwekaza Mukandala,
Makamu Mkuu Mstaafu Chuo Kikuu cha DSM
 
Ambaye hapendi vyama vingi ni Magufuli peke yake, sijui hii tabia kaitoa wapi maana haukuwa utaratibu wa watanzania waliowengi. Ila baada ya kugundua hili , je sisi kama watanzania tuna chukua hatua gani kunusuru hili swala, vyama vya upinzani, taasisi za kiraia ndio muda wa kuonesha role yao. Lakini yote kwa yote wananchi wasipobadilika kimtizamo kuhusu hali ya kisiasa nchi bado tutakuwa na safari ndefu sana!!!
 
View attachment 872054

Huyu mzee amesitaafu naona akili inaanza kumrudia..!
 
Ni jambo la kusikitisha wakati wengine wakielekea kwenye demokrasia komavu nchi kama Ethiopia ambao wameona madhara ya mfumo wa siara mrengo mmoja huku kwetu Magufuli and his team wanafanya kila wawezalo turudi nyuma!!

Kwa kweli inasikitisha na kutia kichefu chefu sana!
 
Ambaye hapendi vyama vingi ni Magufuli peke yake, sijui hii tabia kaitoa wapi maana haukuwa utaratibu wa watanzania waliowengi. Ila baada ya kugundua hili , je sisi kama watanzania tuna chukua hatua gani kunusuru hili swala, vyama vya upinzani, taasisi za kiraia ndio muda wa kuonesha role yao. Lakini yote kwa yote wananchi wasipobadilika kimtizamo kuhusu hali ya kisiasa nchi bado tutakuwa na safari ndefu sana!!!
anataka kubadili katiba kama akina M-7, Ka-mechi na yule mwenzo wa Bujumbura.

(game = mechi)
 
anataka kubadili katiba kama akina M-7, Ka-mechi na yule mwenzo wa Bujumbura.

(game = mechi)
Ila mimi kwa tathmini yangu, upepo ulipo mitandaoni ni sawa kabisa Na upepo unavuma on ground field, naamnisha jinsi ukosoji ulivyo dhid ya serikali, Sio siri wapinzani wanasupotiwa Sana huku mtaani ila kilichokosekana ni kiongozi wa kuwaongoza nin cha kufanya!!!! Nadhan kumekosekana mtu wa kuongoza raia kutoka upinzani!!!
 
Da Mange alijaribu ila wabongo tukala kona.
 
Da Mange alijaribu ila wabongo tukala kona.
Akili zetu wabongo sijui zipoje? Unawez kutana Na kijana analalamika ajira at the same time anasema siasa ni upumbavu, anaendelea kusema mimi siwez piga Kura.....ukimuliza hiv unajua maisha yko yapo determined Na siasa anshangaa kivipi? ...Anasahaua kuwa watunga sera wote wanatokana Na siasa hata ajira anazolalamikia huenda wanasiasa wakawa Na suruhisho Kwa kutunga sera zeny tija!!!!!!........tungekuwa Na tabia ya kushiriki siasa Kwa nguv aki akina Maguful wasingepata hata time ya kuenjoy raia lkn Kwa sababu tunajua siasa ina watu wake Na sisi watu ubuyu acha tusulubike!!!!!
 
Kwa maoni haya "niritaka kukuteua uenyekiti wa bodi furani furani rakini nime canceri kabisaaa"
("rabuda" uombe ukichaa kichaa changu urudi naweza nikakuteua), Mpina njoo ushikirie hapa maana wewe ukichaa kichaa chako naukubari!
 
Ambaye hapendi vyama vingi ni Magufuli peke yake, sijui hii tabia kaitoa wapi maana haukuwa utaratibu wa watanzania waliowengi. Ila baada ya kugundua hili , je sisi kama watanzania tuna chukua hatua gani kunusuru hili swala, vyama vya upinzani, taasisi za kiraia ndio muda wa kuonesha role yao. Lakini yote kwa yote wananchi wasipobadilika kimtizamo kuhusu hali ya kisiasa nchi bado tutakuwa na safari ndefu sana!!!

Screenshot_2018-09-20-10-50-32.jpg
Screenshot_2018-09-20-11-15-45.jpg
Screenshot_2018-09-20-12-08-13.jpg
 
Good observation. Japokuwa tayari tuna utitiri wa vyama. Tatizo letu siyo mabadiliko, bali ni viongozi wa ngazi zote hasa Rais na wateule wake, mahakama, bunge, msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, vyombo vya ulinzi na usalama na vyama vya siasa kwa ujumla kuheshimu katiba ya nchi na sheria zinazotungwa.
Tatizo la sasa wala siyo mfumo wa vyama vya siasa bali ni kikundi cha watawala kujiweka juu ya katiba ya nchi na sheria zinazosimamia mfumo mzima wa demokrasia nchini. Tabia tunazoshuhudia za kuminya demokrasia, kuvuruga chaguzi kwa makusudi, kutisha raia, kuua viongozi wa upinzani, kupandikiza migogoro kwa lazima, kuzuia haki ya vyama kufanya kazi za siasa nk. nk., siyo za kimfumo wala muundo, bali ni serikali kukiuka katiba iliyowaweka madarakani.
 
Ha ha haaa. Umewaza chakupinga hapo na kutokwa povu ukakosa ukaona uje na kijiswali cha kijinga kama hiki. Haya wamekuja na quotes za kukuaminisha.
Ndiyo umemaliza? Hongera ingawa bado una safari.
 
Back
Top Bottom