Prof. PLO Lumumba ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga nondo za kufamtu kuhusu African Dev. Agenda

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,181
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Karibu.

Paskali.
 
Prof. Lumumba, ameanza kwa kibwagizo cha "Baniani mbaya, kiatu chake dawa".
Baada ya hapo amekuwa akihudumia kwa lugha ya Kizungu, nimeambulia kusikia neno "The Great Mwalimu Nyerere.

Huyu jamaa anaonekana amezisoma sana speeches za Mwalimu Nyerere, kila akiongea maneno mawili matatu, atamtaja Mwalimu Nyerere.
P
 
Ina maana umeenda kwenye hilo tukio ukiwa hujui key speakers ni akina nani? Kwa ueledi wako unaniangusha mkuu wangu.

PLO kuwepo wala siyo breaking news kwani toka mwanzo ilijulikana atakuwepo.

IMG-20191106-WA0015.jpeg

Unforgetable
 
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Karibu.

Paskali.
Mpenyezee kamemo mwambie agusie

Mpenyezee kamemo mwambie pale kwenye mengineyo basi agusie pie "the reintroduction of monoparty system in Tanzania"
 
Wanabodi,
Niko hapa Dodoma ndani ya Ukumbi wa LAPF (now PSSSF), kumetokea Breaking News ambapo Prof. PLO Lumumba kutoka nchini Kenya, yuko ndani ya Jiji la Dodoma!, Kumwaga Nondo za Kufa Mtu Kuhusu African Dev. Agenda na mchango wa CSO kwenye ku push African Development Agenda.

Andamana nami nikudondolee, baadhi ya hizi nondo.

Watch Live

Karibu.

Paskali.
Habari ya mujini kwa sasa ni chama cha ukweli cha upinzani Tanzania kuususia uchaguzi wa serikali za mitaa
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom