Prof. Pis, kaelezea weak point kuhusiana na kuongezeka kina cha maji bahari ya Hindi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Pis, kaelezea weak point kuhusiana na kuongezeka kina cha maji bahari ya Hindi!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Paul Kijoka, Apr 23, 2012.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  "Katika nchi yetu mabadiriko ya global warming tunashuhudia ikiwemo kuongezeka kwa
  kina cha bahari. Hii ni rahisi kuijaribu kwamfano unapoweka maji kwenye sufuria yanapopata joto
  yanatanuka na kuongezeka. Hivyo baharini kwakuwa joto limeongezeka basi maji nayo yametanuka na
  kuongezeka kina" Alieleza prof. Pis (sina uhakika na jina) kupitia ITV.

  Hii ni weak point kusemwa na prof. kwani kuongezeka kwa kina cha bahari kumesababishwa na kuongezeka kwa joto lakn
  si kwa kutanuka bali kwa kuyeyuka barafu zilizopo maeneo mabali mabali duniani hasa bara la Antarctica na hali hiyo imesababisha maji kuongezeka. Pia maeneo kama vilele vya milima kama Kilimanjaro navyo vimeyeyuka na kuongeza maji baharini.

  Nampinga prof. kwa hoja hiyo.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo?
   
 3. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160

  Ana mgomo baridi na Prof Pis
  . :playball:
   
 4. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nyie vilaza kweli mwenzenu kaja na hoja ya msingi nyie mnaleta mipasho hapa,.nendeni facebook mkafanye huu upuuzi
   
 5. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu, hawa jamaa hawajui walifanyalo. Hili ni jukwaa la elimu na ni lazima waingie watu wenye hoja za kisomi au pengine hawajaelewa mada husika na kwahiyo wakaamua kupiga pumba zao hapa.
   
 6. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hata mimi nilishangaa sana kusikia hivyo, nikasema hii ni shallow sana kwa elimu yake
   
 7. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  very alerting kama prof anaweza kuwa na hoja shallow kiasi hichi.
   
 8. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Inategemea ni Prof wa nini.., huenda fani yake ni muziki ameulizwa mambo ya global warming..

  Ila hapa tukirudi kwenye archimedes principle...; When a body is wholly or partial submerged in a fluid it displaces its own weight.., hivyo basi in case ya kwenye sufuria ukiweka maji nusu alafu ukaongeza ice cubes.., (maji yatapanda kutokana na uzito) je ice cubes zikiyeyuka hayo maji yatapanda zaidi ya yalipokuwa...

  Food for Thought...

  By the way sikubaliana na Prof..
   
 9. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  nadhani anatakiwa apewe taarifa kwa wale wanaomfahamu ili aje aelezee hiyo theory mpya hapa kwakuwa ni prof. atutakuwa na ubishi vinginevyo mimi siungi mkono hiyo projo.
   
 10. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni kweli. Aliposema hivyo nilitaka kujua ni darasa la ngapi huyu, kusoma prof. Ni kweli alisema
   
 11. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  from what I know liquid behave in different was depending on their freezing point but for the case of water may evaporate or expand when exposed to temperature.

  Ila tuongelee kuexpand kwa maji kwakuwa ndo hoja ya Prof. maji huwa yanaexpnd pale tu yanapofikia kizio cha mgando (freezing point) na joto linapopungua zaidi basi yanaongezeka ujazo na ndo maana chupa au dumu ukilisahau kwenye friza kwa muda mrefu basi litapasuka kwakuwa ujazo unaongezeka.

  sasa kama bahari ingekuwa ingekuwa inaganda basi Pis angekuwa sahihi.

  Sasa hapo mkuu kwenye red ni mtazamo duni kwakuwa si kweli kuwa barafu ziko kwenye bahari bali bali maji yanayoingia baharini yanaletwa na mito toka maeneo mbalimbali yaliyo affectiwa naglobal warming hasa kwaenye polar regions, atactica na kwenye vilele vya milima virefu. ukifikiria hivyo basi umemeza hiyo principle na unakuwa Pis!!!
   
 12. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Okay kwanza kabisa through Archimedes principle tunakubaliana kama ice zipo kwenye maji (bahari, basi kuyeyuka kwake hakutaongeza kina cha maji)

  Haya tuje kwenye point ya Prof.., Je ni nini kinasababisha kina kuongezeka.., Je na point ya Prof na yako pia zote zinachangia ?, kabla hatujaenelea sana kumtukana Prof.., tuangalie the following extract nimetoa kwenye mtandao:-

  Causes of Sea Level Rise

  Kwahio Mkuu utaona kwamba according to the first point (kwenye blue) the Prof was right.., ila kwa kuwa yeye ni Prof.., ingebidi atoe maelezeko zaidi na sio juu juu tu

  Thanks Mkuu Paul Kijoka
   
 13. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  I like it. Its nice observation mkuu sun wu. Thank you.
   
 14. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unawezaje kukataa hoja ya mtu bila kuwa na facts? Sea level rise inachangiwa na vitu viwili: water expansion due to temperature increase (temp increase here is very small, less than 1 degree celsius) and melting of glacier. Climate change is a broad subject and pure science!Just search for IPCC 4th assessment report (physical science) you will get some a,b,c
   
Loading...