Elections 2015 Prof. Peter Mohamed Msolla: CCM itatawala, kuanguka labda miaka 50 ijayo

Prof kapigwa chini kula za maoni! Aisee

Ma-profs ni watu wajinga sana hasa wa Tanzania na wana misimamo ya kijinga mfano Lipamba wa UKAWA. Ukichunguza ni taabu sana bora tuwaache wafanye ujinga wao kwenye tafiti na ikiwezekana wasipewe kabisa nafasi za siasa
 
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!

We jamaa utakuwa daktari tu lazimaaaaaaa
 
Ni kweli mkuu,maana huyu jamaa anapenda sana kuwa mpinzani,kaona UKAWA wana karibia kushika dola,sasa kaamua kukimbilia kwa Upinzani mtarajiwa(sisi emu).

Duuuu,kwa maana hiyo lipumba anasoma alama za nyakati?
 
Kuna wakati Huwa hakuna Tofauti kati ya Profesa na Darasa la Saba

Ukiwa mwanasiasa nchini Tanzania hata kama ni Profesa ni sawa ku-act kama darasa la saba kwa sababu hata raia wa kawaida ambao wana elimu ya kutosha uwezo wao wa kuchambua mambo hauna tofauti na asiyesoma kabisa!!
 
Naona hii jamii forum ni ya machadema mnalazimisha vitu vya uongo kuwa vya kweli mnalazimisha kila mtu humu awe cdm kumbukeni hata Odinga alikuwa anajaza watu kama huyu mamvi na aliiona ikulu kwa nje mtaabika 25 oct
 
Alikuwa ana mtoto mmoja ambaye alikuwa akisomea degree ya udaktari wa meno miaka ya 2008/09 hapo Muhimbili. Dada yule Eliza alikuwa hajaumbika, lakini Mungu hakumsahau akamjalia nyodo... Mtoto wa waziri wa Sayansi na Teknolojia tena!!!

nilivoona Profesa nikajua kaongea kiuchambuzi Kama Profesa, kumbe kaongea kama kada. Alafu nahisi thyroidectomy inamuhusu huyu.
 
Kwanza amemtelekeza mtoto wake wa kike wa nje uko iringa... malipo duniani apa apa..
 


akichangia hoja fulani professor huyu aliwahi kusema ccm itatawala weweee, kuanguka ni labda baada ya miaka 50,
na hii ilikuwa kauri yake katika bunge lililopita, nakumbuka nilimwonya kwa kauri hiyo nilimweleza kuwa huko kujiamini kwao kusivuke mpaka cos dramatic changes do happen, nikampa na mfano wa meridian biao bank ilivyofungwa ni wateja asubuhi walikuta tu bank imefungwa kwa sababu imefirisika.

Pia nilimpa mfano wa mdogo wake dr. Hamza suleman msolla naye akiwa ni human resources manager wa amref tanzania alikuwa anajiamini atakuwa na cheo hicho hadi miaka 7 ijayo ni asubuhi moja tu alikuta barua mezani kwamba kazi hakuna sasa hivi anasaga unga na kuuza maji tabata kimanga.

Sasa jana prof. Peter msolla kaangukia pua kura za maoni jimbo la kilolo , pia ccm yake inafurushwa kwenye uchaguzi mkuu utakao fanyika octber 25.

Prof take my wold


mungu akimleta mtoto analeta na sahan

yake ...torka uje prof lowassa anakusubiri
 
Msola ni professor wa ng'ombe, alifikiri labda Watanzania wote ni kama ng'ombe!
 
Ma-profs ni watu wajinga sana hasa wa Tanzania na wana misimamo ya kijinga mfano Lipamba wa UKAWA. Ukichunguza ni taabu sana bora tuwaache wafanye ujinga wao kwenye tafiti na ikiwezekana wasipewe kabisa nafasi za siasa

Dah noma sana aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom