Zanzibar 2020 Prof. Omari Fakih Hamad ashinda Jimbo la Pandani, Zanzibar

ZOEZI LA kupiga kura uchaguzi Mdogo wa nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Pandani umemalizika na kutangazwa matokeo ambapo Prof Omary Fakih Hamad kutoka chama cha ACT wazalendo ameibuka kidedea huku akiwashinda wangombea tisa walio shiriki katika uchaguzi mdogo jimbo hilo.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi Khamis Abdalla Hassan afisa uchanguzi mkoa wa kaskazini pemba amesema kuwa Omar Fakih Hamad ameshinda kwa kura 2361 sawa na sailimia 52.5 huku akifatiwa na Mgombea kupitia chama cha ccm Mohamed Juma Ali alie pata kura 1934 sawa na aslimia 43.

Kwa upande wao walio shindwa katika uchaguzi huo wameishukuru tume ya uchaguzi kwa kwendesha zoezi hilo kwa huru na haki na kuwataka wanchi kushurikiana na mshindi alie patikana

Jimbo la Mpandani linafanya Uchaguzi wa Mwakilishi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mwakilishi Mteule wa Jimbo hilo Abubakar Khamis Bakari kupitia Chama cha ACT Wazalendo kufariki dunia, usiku wa kuamkia Novemba 11, 2020.

#UGATvFurahaYako
 
Angekuwepo bwana yule. Huyo wa CCM angeshinda asilimia 100%
Nikulipe mshahara halafu umtangaze mpinzani?
Maajabu haya
 
Kuna watu wanaomboleza hadi wanakufuru.Muumba fundi anakusudi lake tuyapokee maisha yasonge.
 
Kiasi washinde ,maana Juma Duni au Bob Juma alikuwa akizunguka na kutazama kila kona kuliko usalama wa taifa. Yaani ile nafasi ya usimamizi na ulinzi wa eneo nao pia aliivaa ,ukipita katika anga zake anakuuliza unaenda wapi,halafu tusisahau CCM haijawahi kushinda Pemba,hawaitaki hata kuiona na ukiongezea kupotea kwa mashee wa uamsho ndio kabisa.
 
Back
Top Bottom