Prof Ngowi ana uprof wa kununa?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Nauliza tu yule prof mchaga ngowi ni wa kununua uprof ule au rais kachomekea?
 
Nijuavyo miye huyuuliyemtaja ni Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Mzumbe. Chuo cha Serkali. Kama kuna mazonge zonge katika Uprofesa wa mtu huyu, kwanini mwenye ofisi nambari wahedi asiingile kati huko huko Chuoni kwake (kama alivyo fanya kwenye vyeti vya fomu Foo- Na kumwibua/kumkumba Profesa mmoja Gwiji la Sheria)? Hii ingekuwa bora kuliko kutuhumu pasi na kuchukua hatua...
 
Back
Top Bottom