samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,015
- 1,219
Huyo sio msahihishaji ni mbabaishaji huwa wanakula kiapo hawawezi bwatuka ovyo nenda urudi tenaNimeongea na msahihishaji mmoja, ambaye namuamini, akaniambia nilichokiandika hapo.

Stupud thinking, kwani majenerali wanapo pindua serikali huwa hawajala viapo na miiko? akili zako ndogo! Majaji si wanakula viapo mbona wanakatazwa kuamua kesi za ndugu zao/marafiki.Huyo sio msahihishaji ni mbabaishaji huwa wanakula kiapo hawawezi bwatuka ovyo nenda urudi tena
Kwahiyo hakuna rufaa?Halafu baada ya rufaa wataenda kusahishia nje ya nchi?
Nadhani umeelewa sasaKwahiyo hakuna rufaa?
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
Matokeo ya Usahihishaji wa Rufaa za Watahiniwa wa Mtihani wa
KIDATO CHA SITA (ACSEE) JUNI 2020 - AWAMU YA I
Na. Somo Jina la Somo Gredi ya Awali Gredi ya Sasa
S.L.P 8718, MOSHI
P0134-0553
Kumb. CAC.18/142/02/100 Tarehe ya Rufaa: 17-Sep-2020
Maoni
131 PHYSICS F F Haijabadilika
132 CHEMISTRY F F Haijabadilika
142 ADVANCED MATHEMATICS F F Haijabadilika
Na. Somo Jina la Somo Gredi ya Awali Gredi ya Sasa
0713334790
P0135-0504
Kumb. CAC.18/142/02/96 Tarehe ya Rufaa: 17-Sep-2020
Maoni
112 HISTORY E E Haijabadilika
122 ENGLISH LANGUAGE E E Haijabadilika
Na. Somo Jina la Somo Gredi ya Awali Gredi ya Sasa
0767344773
P0135-0552
Kumb. CAC.18/142/02/97 Tarehe ya Rufaa: 17-Sep-2020
Maoni
111 GENERAL STUDIES F F Haijabadilika
113 GEOGRAPHY E E Haijabadilika
Na. Somo Jina la Somo Gredi ya Awali Gredi ya Sasa
S.L.P 547, NJOMBE
P0143-0515
Kumb. CAC.18/142/02/82 Tarehe ya Rufaa: 04-Sep-2020
Maoni
112 HISTORY E E Haijabadilika
121 KISWAHILI S S Haijabadilika
Na. Somo Jina la Somo Gredi ya Awali Gredi ya Sasa
0679-918951
P0147-0508
Kumb. CAC.18/142/18/72 Tarehe ya Rufaa: 04-Sep-2020
Maoni
113 GEOGRAPHY S S Haijabadilika
132 CHEMISTRY F F Haijabadilika
133 BIOLOGY F F Haijaba
Anaitwa nani ili tuhakikishe kama kweli anafanya kazi NECTA 🤣🤸🐒Nimeongea na msahihishaji mmoja, ambaye namuamini, akaniambia nilichokiandika hapo.
Serikali inabeba cream yote kwenda kidato cha sita.Private za Advanced level zinachukua vilaza.Mh. Prof Ndalichako,
1. Kuna taarifa kuwa Serikali imekuwa kwa makusudi ikijitahidi kuziinua shule za Serikali/kata katika mitihani at the detrimwent of shule za binafsi hasa zinazofanya vizuri.
2. Kwa makusudi kabisa inasemekana shule za binafsi zinazofanya vizuri/zenye historia ya kufanya vizuri watahiniwa wanapunguziwa marks ili shule za serikali/Kata zionekane zinafanya vizuri.
3. Najua si rahisi kulikubali kuwa hilo linatendeka, lakini habari za ndani kabisa zinasema ni hivyo. Kumbuka kuwa wasahihishaji wanatoka kwenye jamii tunayokaa hivyo kunawez kukawa na kaukweli ka aina fulani.
4. Vijana kutoka shule binafsi wanalalamika kuwa haiwezekani wakafeli hivyo kama ilivyoonekana kwenye mitihani ya juzi kidato cha sita na wanachelea kuomba remarking/rufani maana hawana imani tena na usahihishaji.
5. Mh. Prof, unalisemeaje hili?
6. Naamini hili kama linafanyika lazima liwe na Baraka za wakubwa na LABDA wewe ukiwa mmoja wapo? (inawezekana pia hujui), lakini common sense inaniongoza kufikiri kuwa haliwezi kufanyika bila wewe kujua.
KWA NIA NJEMA NALILETA KWAKO
Na mwambie hua Ni SoMo moja kituo kimoja Hapo utajuaje Kama Wamefaulu kisa huyo mtu wake kasahihisha Chinese Baobab. cc RetiredSio kweli mkuu kakuingiza Chaka.
Usahihishaji wa necta upo very systematic and fair hilo haliwezi kutokea.
Labda kama wanafanya baada ya kusahishisha lakini wakati wa kusahishisha hapana si kweli.
Kuhusu kukata rufaa usimshauri matokea ya necta huwa ni ya halali kabisa ndio maana wanaotoka kwenye rufaa ni asilimia ndogo Sana.
Kwanza mnafanya trial marking mpk tofauti ya wasahihishaji wa swali moja iwe ndogo Sana. Halafu ndio mnaanza tiki Sasa.
Sio kwamba ukipiga tiki imetoka no Kuna wanacheki na wanakera mzee.
Mnahesabu marks manually haalfu marks za Kila swali zinaingizwa kwenye system total itally na manual count.
Marks zikiingizwa kwenye system Kuna wanacheki kama zimeingizwa sahihi.
Baadae Mnacheki extreme cases.
Hapo unaonewaje?
Yaani Kila mahali Kuna cheker.
Kama taasisi zote zingekuwa systematic kama necta hii nchi ingekuwa mbali sana.
Mimi pia ni muda mrefu nilikuwa nafikiri hivyo. Hii kitu iliongezeka kasi hasa kipindi cha jiwe.Mh. Prof Ndalichako,
1. Kuna taarifa kuwa Serikali imekuwa kwa makusudi ikijitahidi kuziinua shule za Serikali/kata katika mitihani at the detrimwent of shule za binafsi hasa zinazofanya vizuri.
2. Kwa makusudi kabisa inasemekana shule za binafsi zinazofanya vizuri/zenye historia ya kufanya vizuri watahiniwa wanapunguziwa marks ili shule za serikali/Kata zionekane zinafanya vizuri.
3. Najua si rahisi kulikubali kuwa hilo linatendeka, lakini habari za ndani kabisa zinasema ni hivyo. Kumbuka kuwa wasahihishaji wanatoka kwenye jamii tunayokaa hivyo kunawez kukawa na kaukweli ka aina fulani.
4. Vijana kutoka shule binafsi wanalalamika kuwa haiwezekani wakafeli hivyo kama ilivyoonekana kwenye mitihani ya juzi kidato cha sita na wanachelea kuomba remarking/rufani maana hawana imani tena na usahihishaji.
5. Mh. Prof, unalisemeaje hili?
6. Naamini hili kama linafanyika lazima liwe na Baraka za wakubwa na LABDA wewe ukiwa mmoja wapo? (inawezekana pia hujui), lakini common sense inaniongoza kufikiri kuwa haliwezi kufanyika bila wewe kujua.
KWA NIA NJEMA NALILETA KWAKO
Mtoa mada fanya tafiti hii utagundua mawazo yako sio sahihi:Mh. Prof Ndalichako,

Unajua shule za serikali za A level zinazoingia Top Ten zinachukua watoto wenye division gani kutoka O-level.Kwa kweli inatia shaka sana!
Yote hayo ni kutaka kumfurahisha Kayafa sasa yamekuwa mazoea?!
Ionekane wana-perform well kumbe mmnh?!
Ni sawa na takwimu za kupika tu ?!
Mimi ni shuhuda wa namna private schools zinavyofaulisha wanafunzi wak kwa wizi, msimamizi, walinzi, waalimu, etc yaani acha tu. Kula kulana kufa kufaana, kula uliwe, dekeza udekezwe, nuna ununuliweBinafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.
2020 mdogo wangu alihitimu kidato cha nne shule ya Serikali na alikuwa ni zero brain kabisa ila cha kushangaza eti kapata division two, ukweli niliumia sana na kujiuliza ni wapi kuna tatizo.
Mkuu unaweza kuchukia mafanikio ya mdogo wako kweli?behave bas mkuuBinafsi niliwahi hisi huenda shule za Serikali zinabebwa sana miaka hii.