Mkuu nikuulize kwahiyo hao waliokosa mlitegemea wangefeli lakini upepo umebadilika, au? pili je? mumeshajiuliza wangapi wataenda shule binafsi? mie ningeshauri mngekaa na wamiliki wa shule binafsi wakafungua shule wao mapema kuweza kujua ni kiasi gani cha wanafunzi wataenda private schools na nafasi zitakazobaki zijazwe na hao waliokosa nafasi.
Pili, fikirieni kutoa ruzuku shule binafsi zitakazokubali kudahili watoto kwa bei elekezi hivyo kupunguza mzigo kwa srikali. Tulishawambia shule binafsi zinawasaidia kubeba mzigo siku zikiutua mtaubeba nyinyi. Na hivi mumepitisha wenyeviti wa mitaa wa viti maalumu kazi mnayo.