Prof. Ndalichako na Jafo sidhani kama kuna upungufu wa madarasa ila kuna upungufu wa mipango mizuri

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,801
2,000
Mkuu nikuulize kwahiyo hao waliokosa mlitegemea wangefeli lakini upepo umebadilika, au? pili je? mumeshajiuliza wangapi wataenda shule binafsi? mie ningeshauri mngekaa na wamiliki wa shule binafsi wakafungua shule wao mapema kuweza kujua ni kiasi gani cha wanafunzi wataenda private schools na nafasi zitakazobaki zijazwe na hao waliokosa nafasi.

Pili, fikirieni kutoa ruzuku shule binafsi zitakazokubali kudahili watoto kwa bei elekezi hivyo kupunguza mzigo kwa srikali. Tulishawambia shule binafsi zinawasaidia kubeba mzigo siku zikiutua mtaubeba nyinyi. Na hivi mumepitisha wenyeviti wa mitaa wa viti maalumu kazi mnayo.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
10,475
2,000
Kuna mikoa mitihani ya darasa la nne imefanyikia ktk majengo ya sekondari wakubali tu vyumba vya madarasa kwa baadhi ya mikoa ni tatizo
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,411
2,000
Mkuu nikuulize kwahiyo hao waliokosa mlitegemea wangefeli lakini upepo umebadilika, au? pili je? mumeshajiuliza wangapi wataenda shule binafsi? mie ningeshauri mngekaa na wamiliki wa shule binafsi wakafungua shule wao mapema kuweza kujua ni kiasi gani cha wanafunzi wataenda private schools na nafasi zitakazobaki zijazwe na hao waliokosa nafasi.

Pili, fikirieni kutoa ruzuku shule binafsi zitakazokubali kudahili watoto kwa bei elekezi hivyo kupunguza mzigo kwa srikali. Tulishawambia shule binafsi zinawasaidia kubeba mzigo siku zikiutua mtaubeba nyinyi. Na hivi mumepitisha wenyeviti wa mitaa wa viti maalumu kazi mnayo.
Hilo haliwezakani hoa watu wana fikira ya kuona shule binafsi kama adui wao sio washiriki na wadao wa alemu, viongozi wetu wana wivu na fitna kwenye private sector. Wanatamani shule zao ziffe tu
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,889
2,000
Uongozi wa nchi yetu una ombwe kubwa sana. Kipindi cha nyuma shule binafsi walikuwa wana funga na kufungua shule zao mapema kabla ya serikali. Viongozi wakabadili hilo. Sasa wana enda sambamba.. Kwa mtindo huu huwezi kujua una upungufu wa madarasa mangapi. Pili kama serikali ina records za shule binafsi na idadi ya wanafunzi zinao dahili kila mwaka ni rahisi kuwa na makisio ya wanafunzi watakao kosa shule. Ila haya yote hawataki kufikiria.
Mkuu nikuulize kwahiyo hao waliokosa mlitegemea wangefeli lakini upepo umebadilika, au? pili je? mumeshajiuliza wangapi wataenda shule binafsi? mie ningeshauri mngekaa na wamiliki wa shule binafsi wakafungua shule wao mapema kuweza kujua ni kiasi gani cha wanafunzi wataenda private schools na nafasi zitakazobaki zijazwe na hao waliokosa nafasi.

Pili, fikirieni kutoa ruzuku shule binafsi zitakazokubali kudahili watoto kwa bei elekezi hivyo kupunguza mzigo kwa srikali. Tulishawambia shule binafsi zinawasaidia kubeba mzigo siku zikiutua mtaubeba nyinyi. Na hivi mumepitisha wenyeviti wa mitaa wa viti maalumu kazi mnayo.
 
Kitanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
350
250
Hilo haliwezakani hoa watu wana fikira ya kuona shule binafsi kama adui wao sio mshiriki wa alemu, viongozi wetu wana wivu na fitna kwenye private sector. Wanatamani shule zao ziffe tu
Kwa kweli nadhani kuna umuhimu wa kuomba shule binafsi zenye nafasi japo wanafunzi waliobaki nyumbani kusubiri ujenzi wa vyumba vya madarasa ukamilike waweze kuendelea na masomo kwa wakati. Pia inashindikana ni kuwa na utaratibu wa ujenzi wa madarasa pamoja na kutengeneza madawati kwa wakati? Maana idadi ya watoto wanaongia darasa la saba inajulikana kwa kila shule, kijiji, Kata, Tarafa, Wilaya na Mkoa. Hivyo, maandalizi ya kuwapokea kidato cha kwanza lazima yafanyike mapema lakini kila mwaka mambo ni yale yale ya mwaka ulopita!
 
sheiza

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
5,200
2,000
Mkuu nikuulize kwahiyo hao waliokosa mlitegemea wangefeli lakini upepo umebadilika, au? pili je? mumeshajiuliza wangapi wataenda shule binafsi? mie ningeshauri mngekaa na wamiliki wa shule binafsi wakafungua shule wao mapema kuweza kujua ni kiasi gani cha wanafunzi wataenda private schools na nafasi zitakazobaki zijazwe na hao waliokosa nafasi.

Pili, fikirieni kutoa ruzuku shule binafsi zitakazokubali kudahili watoto kwa bei elekezi hivyo kupunguza mzigo kwa srikali. Tulishawambia shule binafsi zinawasaidia kubeba mzigo siku zikiutua mtaubeba nyinyi. Na hivi mumepitisha wenyeviti wa mitaa wa viti maalumu kazi mnayo.
Huko kwenye utegemezi ndio tunataka tutoke.
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,801
2,000
LESIRIAMU,
Kuna shule ziko tayari kudahili watoto bure kama scolorship tatizo watu hawatoi ushirikiano
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,801
2,000
Kitanga,
Zipo shule zilizoko tayari kupokea wanafunzi tena bure lakini watu hawatoi ushirikiano tunawageuza watoto mtaji wakisiasa
 
Kitanga

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
350
250
Kama kuna shule binafsi ambazo ziko tayari kuwapokea watoto hawa siyo mbaya kama tukiweka orodha hapa alafu uongozi wa Wilaya na Mkoa husika ukasaidia kuziona shule husika ili kuokoa jahazi. Ni rahisi maboma hayo yakakamilika kwa muda huo mfupi kama ilishindikana kwa mwaka mzima!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom