Prof. Ndalichako: Mkurugenzi wa Jiji ni wa kisasa

Waziri2025

Senior Member
Sep 2, 2019
148
379
ARUSHA

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Technolojia, Prof. Joyce Ndalichako na Balozi wa China nchini, Wang Ke, jana wameshiriki uwekezaji wa jiwe la msingi katika Shule ya Sekondari ya Mrisho Gambo ya masomo ya Sayansi mkoani Arusha.

Akizungumza jana katika shule hiyo iliyopo Kata ya Olasiti jijini Arusha,baada ya kutembelea shule hiyo, Waziri Ndalichako alimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa jitihada za kukuza elimu.

“Sasa kwa kuwa hule hii nimeambia imejengwa ka michango ya wadau mbalimbali mkoani hapa, na wizara yangu itachangia kujenga mabweni maili moja la kike na lingine la wavulana ili na sisi serikali tuatie moyo wenu wa kuinua elimu ka watoto wetu,”alisema.

Alisema kitendo cha kujenga sekondari hiyo katika hali ya ubora a hali ya juu, kumempa faraja izara yake ambayo inapambana kuweka mazingira bora ya kusomea.

“Sisi serikali katika kuhakikisha watoto wetu wanapata elimu bora katika mazingira rafiki tumekarabati shule kongwe 65 nchini ikiwemo Sekondari ya Ilboru na bado wametenga Sh. bilioni 201 kwa ajili ya kuendelea kukarabati, kujenga shule, nyumba za walimu, madarasa na miundombinu ya shule nchini.

“Asiyeamini kazi nzuri inayofanywa na serikali hii ya Rais John Magufuli akatembelee shule ya Ilboru ili akajionee kazi nzuri iliofanyika pale ya ukarabati shule inag’aa,”alisema.

Balozi wa China nchini,Wang Ke, alisema serikali ya China inaendelea kushirikiana na Mkoa wa Arusha kuboresha sekta ya elimu, utalii, biashara na sekta zingine, ambapo katika shule hiyo, makampuni matatu ya China yamechangia, ujenzi wa madarasa nyumba zawalimu, komyupta na maabara mbili.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha,Dk.Maulid Madeni alimpongeza Gambo kwa jitihada zake z akuongez aidadi ya shule za Sekondari katika Mkoa huo.

“Mpaa sasa Jiji letu lina shule za Sekondari 28 na Msingi zaidi ya 130 na hule hizi zinafaulisha vizuri na kung’arisha Mkoa wetu,”alisema.

Alisema katika ujenzi wa shule hiyo Jiji limechangia zaidi ya Sh. milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo,lengo kuboresha mazingira ya wanafunzi na kuongeza ufaulu katika jiji hilo.

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha (CCM) Catherine Magige, aliahidi kutoa gari aina ya Noah kwa shule hiyo, ili liasiadie usafiri.

InShot_20200116_194410623.jpeg
IMG-20200116-WA0017.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndalichako
Kabudi
Posi
Hawa ndiyo walioipika (kuiandika/kuitengeneza/kuipika) ile PhD Feki pale magogoni na wote wamelipwa walichostahil.
 
ARUSHA

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Technolojia, Prof. Joyce Ndalichako na Balozi wa China nchini,Wang Ke, jana wameshiriki uwekezaji wa jiwe la msingi katika Shule ya Sekondari ya Mrisho Gambo ya masomo ya Sayansi mkoani Arusha.

Akizungumza jana katika shule hiyo iliyopo Kata ya Olasiti jijini Arusha,baada ya kutembelea shule hiyo, Waziri Ndalichako alimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kwa jitihada za kukuza elimu.

“Sasa kwa kuwa hule hii nimeambia imejengwa ka michango ya wadau mbalimbali mkoani hapa, na wizara yangu itachangia kujenga mabweni maili moja la kike na lingine la wavulana ili na sisi serikali tuatie moyo wenu wa kuinua elimu ka watoto wetu,”alisema.

Alisema kitendo cha kujenga sekondari hiyo katika hali ya ubora a hali ya juu, kumempa faraja izara yake ambayo inapambana kuweka mazingira bora ya kusomea.

“Sisi serikali katika kuhakikisha watoto wetu wanapata elimu bora katika mazingira rafiki tumekarabati shule kongwe 65 nchini ikiwemo Sekondari ya Ilboru na bado wametenga Sh.bilioni 201 kwa ajili ya kuendelea kukarabati,kujenga shule,nyumba za walimu,madarasa na miundombinu ya shule nchini.

“Asiyeamini kazi nzuri inayofanywa na serikali hii ya Rais John Magufuli akatembelee shule ya Ilboru ili akajionee kazi nzuri iliofanyika pale ya ukarabati shule inag’aa,”alisema.

Balozi wa China nchini,Wang Ke, alisema serikali ya China inaendelea kushirikiana na Mkoa wa Arusha kuboresha sekta ya elimu,utalii,biashara na sekta zingine, ambapo katika shule hiyo, makampuni matatu ya China yamechangia, ujenzi wa madarasa nyumba zawalimu, komyupta na maabara mbili.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha,Dk.Maulid Madeni alimpongeza Gambo kwa jitihada zake z akuongez aidadi ya shule za Sekondari katika Mkoa huo.

“Mpaa sasa Jiji letu lina shule za Sekondari 28 na Msingi zaidi ya 130 na hule hizi zinafaulisha vizuri na kung’arisha Mkoa wetu,”alisema.

Alisema katika ujenzi wa shule hiyo Jiji limechangia zaidi ya Sh.milioni 40 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo,lengo kuboresha mazingira ya wanafunzi na kuongeza ufaulu katika jiji hilo .

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha (CCM) Catherine Magige, aliahidi kutoa gari aina ya Noah kwa shule hiyo, ili liasiadie usafiri.
............
View attachment 1325223View attachment 1325225

Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa ni mengi sana kwenye huu uzi wako.
Alafu unahusu elimu.
Hii ni aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom