Prof. Mwandosya: Kuuliza si Ujinga, kamati za Bunge kutowasilisha ripoti bungeni kwanza, Je kanuni zimebadilika?

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,816
1abdfb54c6be23e67d73c7596d3ce211.jpg

Mwanasiasa mkongwe na waziri mwandamizi wa zamani,Prof Mark Mwandosya ameandika katika "tweet" akihoji kuwa,huu utaratibu wa kamati ya Bunge kuundwa na Spika kuchunguza jambo fulani,na baadae badala ya kuliwasilisha bungeni na wabunge kupata muda wa kujadili,safari hii kamati zimewasilisha taarifa zao nje ya bunge lakini katika viwanja vya bunge,na baadae taarifa hiyo kukabidhiwa kwa Rais.

Prof Mwandosya anahoji anasema "Je Kanuni za Bunge zimabadilika?"...Maana ilivyozoeleka na kwa mujibu wa kanuni,kamati kama hizi huwasilisha taarifa zao ndani ya bunge,bunge hujadili na baadae kutoa maazimio ambayo Serikali hupaswa kuyafuata na kuyatekeleza.

Hivi ndivyo ilivyofanya kamati ya Mwakyembe juu ya suala la Richmond,Kamati ile ya Operesheni Tokomeza na hata kamati hizi mbili za kuchunguza Tanzanite na Almasi zilipaswa kufanya hivyo kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge.

Nami niungane na Prof Mwandosya kuuliza "JE KANUNI ZA BUNGE ZIMEBADILIKA"
barafu wa JF
 
hatufuati kanuni.tunaufuata muhimili uliojichimbia chini.

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
Naona Wazee yamewafika shingoni,wanaanza kuuliza maswali "indirect" ya juu ya uvunjwaji wa sheria na katiba.

Tundu Lissu alishasema sana...Wakati anasema wengi tulikuwa kimya,sasa naona hata waliokuwa kimya nao wameanza kusema yaleyale ambayo Lissu alianza kuyasema miaka miwili iliyopita.

Mwisho wa siku,wazee wote wataibuka na kuanza kurudia kusema yale ambayo Lissu alishayasema huko nyuma,akaishia kuitwa mchochezi!!

Duuuh....A Novice has been given a task of his/her Senior!!No doubt he/she will never meet a target
 
View attachment 584627

Mwanasiasa mkongwe na waziri mwandamizi wa zamani,Prof Mark Mwandosya ameandika katika "tweet" akihoji kuwa,huu utaratibu wa kamati ya Bunge kuundwa na Spika kuchunguza jambo fulani,na baadae badala ya kuliwasilisha bungeni na wabunge kupata muda wa kujadili,safari hii kamati zimewasilisha taarifa zao nje ya bunge lakini katika viwanja vya bunge,na baadae taarifa hiyo kukabidhiwa kwa Rais.

Prof Mwandosya anahoji anasema "Je Kanuni za Bunge zimabadilika?"...Maana ilivyozoeleka na kwa mujibu wa kanuni,kamati kama hizi huwasilisha taarifa zao ndani ya bunge,bunge hujadili na baadae kutoa maazimio ambayo Serikali hupaswa kuyafuata na kuyatekeleza.

Hivi ndivyo ilivyofanya kamati ya Mwakyembe juu ya suala la Richmond,Kamati ile ya Operesheni Tokomeza na hata kamati hizi mbili za kuchunguza Tanzanite na Almasi zilipaswa kufanya hivyo kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge.

Nami niungane na Prof Mwandosya kuuliza "JE KANUNI ZA BUNGE ZIMEBADILIKA"
barafu wa JF
Kanuni hazijabadilika na wala hazijavunjwa. Tofauti na kamati hizo nyingine alizotaja prof Mwandosya ambazo ziliundwa kwa utashi wa bunge lenyewe, hizi za juzi ziliundwa kwa ombi la Rais. Kama ulimsikia Spika Ndugai wakati anawasilisha alisema wazi aliunda kamati zile kutokana na ombi la Rais kwamba bunge limsaidie kuchunguza. Kimsingi kamati ya bunge ndio bunge lenyewe na taarifa hii ilikuwa ni hitaji la serikali so hakukuwa na haja ya mjadala wa bunge zima kwani si wao walioagiza uchunguzi. Ahsante!
 
swali hili hili aliliuliza Tundu Lissu masaa kadhaa kabla wale trigger-happy thugs hawajamshambulia kwa risasi kule Dodoma.

ni swali linalogusa soft spot.
 
BUNGE limetekwa na WASIOJULIKANA ! Over ... !
swali hili hili aliliuliza Tundu Lissu masaa kadhaa kabla wale trigger-happy thugs hawajamshambulia kwa risasi kule Dodoma.

ni swali linalogusa soft spot.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni kumlinda naibu waziri nishati na Madini

Ili wizara hii kweli ifumuliwe,na ianze upya,naibu huyu ambaye amekuwa mwanasheria hapo wizarani kwa zaidi ya miaka 20 akabaki,haiwezekani nchi ihangaike na mikataba,halafu mwanasheria aliyekuwa WIZARANI ,sasa ni naibu waziri akabaki

Miqkataba ni mwanasheria na mwanasheria ni mikataba,
 
Kanuni hazijabadilika na wala hazijavunjwa. Tofauti na kamati hizo nyingine alizotaja prof Mwandosya ambazo ziliundwa kwa utashi wa bunge lenyewe, hizi za juzi ziliundwa kwa ombi la Rais. Kama ulimsikia Spika Ndugai wakati anawasilisha alisema wazi aliunda kamati zile kutokana na ombi la Rais kwamba bunge limsaidie kuchunguza. Kimsingi kamati ya bunge ndio bunge lenyewe na taarifa hii ilikuwa ni hitaji la serikali so hakukuwa na haja ya mjadala wa bunge zima kwani si wao walioagiza uchunguzi. Ahsante!
mkuu, kwa hiyo una maana zile kamati hazikuundwa kwa kutumia kanuni za bunge?
kama jibu ni ndiyo, basi hazikuwa na sifa ya kuitwa "kamati za bunge". that's the bone of contention ambayo prof anaiangalia hapa.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom