Prof. Mwandosya azidi kuikoroga CCM aandika kitabu kuelezea rafu na rushwa ndani ya chama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Mwandosya azidi kuikoroga CCM aandika kitabu kuelezea rafu na rushwa ndani ya chama

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Jul 13, 2012.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,376
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  Source Nipashe

  Waziri asiye na kazi maalum Pro Mack Mwandosya amezidi kukiweka chama chake pabaya mara baada ya kutoa kitabu kinachoelezea jinsi gani chama cha Mapinduzi kinavyocheza rafu katika siasa zake zikiambatana na tushwa na kujuana zaidi.
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Je, kinalenga kubomoa harakati za CCM kuelekea chaguzi 2015?
  Je, hii ni ishara ya Prof. kuachana na siasa?
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Kinapatikana wapi Mkuu? tunaweza kupata hardcopy au softcopy wapi?
   
 4. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kinapatikanaje bosi?
   
 5. a

  afwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Bila shaka amesha jua hatma yake kupitia chama chao cha mizengwe
   
 6. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,686
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Hapo ni Lowassa na kambi yake.
   
 7. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM kunarafu usiombe kuanzia ya pesa hadi ya ***no. tujikumbushe yaliyo tokea kule kawe kwenyeule uchaguzi wa matawi. Sijamsikia Nepi akisema au akitoa kauli yoyote.
  Udhaifu ule ule
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160


  Hata nami nimeshatabiri kitambo mambo yaweza yakawa hivyo!
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Anaendeleza ile dhana ya muasisi wa chama ya TUJIKOSOE. Hii dhana inaitofautisha CCM na NGO yenu.
   
 10. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hayo ndiyo maisha ya watanzania "ukikwama kwenye tope ni lazima walionyuma yako wakwame kwa kuwa umeziba njia"
   
 11. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Huyu professor wa electrical engineering. Bora hata angeandika kuhusu 'conservation of charge and energy in electrical circuits'
   
 12. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #12
  Jul 13, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mwenye nacho au anayejua kilipo aniambia, tukakinunue tukisome.
   
 13. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hiyo andika wewe,yeye ameamua kujikita kwenye siasa za CCM!
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,916
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu!
  Hawa vijana wa kisasa wala hawajui kuwa hata Mwalimu aliandika kitabu kukikosoa chama alichokianzisha.
   
 15. t

  tupel Member

  #15
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mkuu ungetupa details za kilichomo ndani ya hicho kitabu
   
 16. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Weka kinapatikana wapi nijiliwaze kua alikua anatumiwa na sasa anataka sema ukweli wa moyo wake au lah hasha?
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  mkuu kweli kinaitwa uozo wa umma? au umechakachua
   
 18. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 771
  Trophy Points: 280
  jamani mwenye hiyo kitu ebu kiwekeni
   
 19. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu tuagizie hicho kitabu kinapatikana wapi tukisome ndipo tuweze kujibu hayo maswali yako. ila kwa sasa tutakujibu kwa reference ipi?
   
 20. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Watu wanaaandika utafikiri kila mtu anaijua hii habari. mnaboa sana!
   
Loading...