Prof Mwandosya awauliza ATCL: "Huu uduni wa huduma ndiyo kawaida yenu au ni kutokana na kutokuwepo kwa ushindani wa kibiashara?"

Kutokuwa na washindani au washindani kuondolewa ktk biashara yeyote ni shida kubwa sana na unaweza kuua kabisa hiyo biashara maana wateja wote watatafuta njia nyingine mbadala tofauti na biashara yako mfano mwingine MWENDOKASI hapo Dar ni shida na wangejua wangeziacha zile daladala
Mkia nusu bro..,
 
Duh!!!!!

Kwa alichosema Prof.. hii haifanyiki kokote duniani.. hao wanaofanya hayo mmmmmmmh!

Hii ni kitu kibaya na mazoea mabaya sana kama wanafanya huu mchezo, huku tunasubiri ndege zaidi

Barabara zinaongezwa za rami.. wasipoangalia watu wataendesha na pia kuanza ya zamani kwenda nje ya nchi na kurudi nchini.
Tatizo lenu mnadhani biashara ya ndege ni kama biashara ya supu ya pweza
 
Duh!!!!!

Kwa alichosema Prof.. hii haifanyiki kokote duniani.. hao wanaofanya hayo mmmmmmmh!

Hii ni kitu kibaya na mazoea mabaya sana kama wanafanya huu mchezo, huku tunasubiri ndege zaidi

Barabara zinaongezwa za rami.. wasipoangalia watu wataendesha na pia kuanza ya zamani kwenda nje ya nchi na kurudi nchini.
Nyie ushindani wenyewe hamtaki
Uwanjani mko wenyewe mnachachawa

Ova
 
Wakati mwingine safari za wanasiasa zinabadili ratiba rasmi za kibiashara.
Habari ndiyo hiyo.
 
ugonjwa mbaya wa kushindwa kusimamia mambo tuliorithi kwa 'wazee wetu'...watafute watu wa CBE wasimamie hilo shirika,wale ndiyo wataalam wa biashara nchi hii
 
Wanachojali ni kuwa na ndege. Ni sawa sisi Wamasai tunaona fahari kuwa na ng'ombe wengi bila kujali faida ya hao ng'ombe.
 
Back
Top Bottom