MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,035
- 854
Kweli mataga mnaruka na kukanyagana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mataga mnaruka na kukanyagana
Mbona alikuwa kmy muda wote, kumbe naye mnafiki kama wengine
Huyu mzee aache ujinga, hasira zake akae nazo nyumbani, aachae kutumika kisiasa.
🤣🤣🤣🤣Wanahangaika utafikir miteteaUsilolijua ni usiku wa giza
Air Tanzania ina lease ndege...manunuzi yake hayapo ATCL..
Ss sijui kama hata unaelewa ku'lease ni nini
Kipind kigumu sana hiki 🤣🤣Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Kawaida ukishastaafu au kuondoka kwenye nafasi yako usipende kuongelea mambo ya ofisi uliyokuwa.
Ulishamalizana nao basi sababu wakikubana ukasema una ushahidi ukienda ofisini kuomba hata barua labda hawakupi. Si sahihi sana ukishatoka kuongelea mambo ya ofisi ulikokuwa achana nayo endelea na maisha mengine.
Mwendazake hakuwahi kujitetea kwa hoja ila kwa risasi.Binadamu wa sasa ile kitu inaitwa aibu hakuna kabisa.
Yaani mtu anaitisha press kumsuta marehemu ilhali anajua kabisa mhusika hayupo na hataweza kujitetea.
Kwani wanakukumbuku bas 🤣🤣 kipind hiki kigumu sanaAhaa si alisema Bunge ni dhaifu halina uwezo wa kusimamia serikali
Miongon mwa waoga ni yeye.huon alikaa kimya Leo ndio anasema alinyimwa. KWA nini hakusema muda ule na kujiuzulu.Mnakatisha tamaa sanaProfesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi lakini Taifa linashindwa kuwakosoa kutokana na hofu na uwoga.
Prof Assad amesisitiza kwa kukaa kwake ofsini alizihitaji sana hizo nyaraka ili azisome na atoe ushauri wa kibiashara kwani amefanya kazi hizo kwa miaka mingi kabla ya kuwa CAG kabla ya kuzikagua.
Prof Assad ametoa ushauri ni muda muafaka wa serikali kuweka nyaraka wazi kwa Raia wake ili wazichambue na kuboresha mapungufu kuliko Kuzificha Ikulu.
===
Wakati nipo ofisini, katika vitu ambavyo ni vitu vitatu: niliomba SGR, niliomba document ya Air Tanzania upya na niliomba project ya Stiegler's Gorge -- feasibility studies. Na sikupewa hata moja. Nilichopata ilikuwa ni barua kwamba mwaka haujamalizika na kwahiyo ukaguzi wa hesabu si wakati wake.
Na kila mtu mwenye akili alikuwa anajua nilichokuwa nataka kufanya si ukaguzi wa hesabu, lakini ilikuwa ni technical response ya kusogeza muda na kuniondoa katika reli tu. Kwahiyo, mpaka nimeondoka ofisini I never got that information na mpaka sasa hivi sijatafuta na sijasoma.
Wewe ni kama mimi. I'm a private citizen now. Ikitokea taarifa hii ipo wazi, tutaisoma na tutatoa commentary.
View attachment 1749054
Mimi simshangai huyu MTU nawashangaa wajinga baadhi Yao mpaka Leo hii wanamuamini.
Yaan wee jamaa 🤣 hizi postUsitoe hasara nyingine hadharani tumechoka na lmetosha
Nchi hii wenye akili ndogo wanaongoza wenye akili kubwaView attachment 1749345View attachment 1749346View attachment 1749347
Miongon mwa waoga ni yeye.huon alikaa kimya Leo ndio anasema alinyimwa. KWA nini hakusema muda ule na kujiuzulu.Mnakatisha tamaa sana
Tundu lisu mlimpiga risasi 30 bado unataka na mwingine ajitokeze aseme ukweli?Miongon mwa waoga ni yeye.huon alikaa kimya Leo ndio anasema alinyimwa. KWA nini hakusema muda ule na kujiuzulu.Mnakatisha tamaa sana
Kama wasiojulika walifanya matukio ya wazi mbona humuwataji kwa majina ili kuisadia Serikali?,hivi unakuyakumbuka mauji ya albino na wachuna ngozi? Hayo matukio ni mabaya na yalileta gumzo duniani.Hawa wengine ulowataja huenda ni mambo ya kudhulumiana ktk biashara zao na unafiki ktk kazi zao.
Kuna watu wamevurugwa 😀😀😀Dah nmecheka sana.
HashiiiindwiiiiiNimeambiwa ndiye anayesponsor hizi siredi zinazomtetea marehemu na kumponda mama
We SHOGA UNIKOME! kama wewe unaabudu Binaadamu that's up to you usinisingizie uongo! MWENYEZI MUNGU HAKUZAA WALA HAKUZALIWA! KAFIRI MKUBWA wewe.Tenda wema ili siku ukifa watu wasiongee shit juu yako.
Kama wewe ulutendewa fadhila jua kuna wenzako walitendewa ushetani na huyo mungu wako.
Sasa wanapotema nyongo usiwaone kama wanamsema vibaya.
Huo ndo ukweli.
Naomba niambie basi ni vitu gani hivyo vipya vitafanyika katika hiyo plan mpya basi. Ukiweza hilo niko radhi kubadili msimamo wangu.
Sioni aibu kushabikia chama lakini Tambua kwa sasa mimi si mfuasi wa chama chochote na wala sijawahi hata kumiliki kadi ya chama chochote cha siasa. Itoshe kusema hivo.
🤣🤣 mkuu umepanik sana. Umeacha mada unamrukia mleta mada. Aliyekwambia anahitaji kuna popular nani,huyo aliyekuwa popular leo hii anatafunwa funza hukoHakuna mtu mpumbavu kama Prof. Assad. Kwanza asije kujidanganya kama yuko popular kiasi cha kutumika kuua heshima ya JPM. Ndiyo maana limekaa kama nguruwe pori hata umbo lake. Kwani nani hajuwi kama Assad anamchukia JPM hata kabla hajawa Rais? Huyu si ndiye alisemaga JPM siyo waziri na hafai kwa kuwa ni mjasiriamali wa kisiasa? Pamoja na sigida yake hana Mungu ni mpumbavu fulani.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app