Prof. Mukandala kaachia ngazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam?

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,030
5,772
Kama ni kweli ameachia ngazi basi VC atoke kwa wagonga nyundo ! Binafsi nitamkumbuka Rwekaza kwa msimamo wake thabiti wa kuibeba CCM ya Jakaya 2005-2015 alikua mshauri wa Khalfani katika politics issue .

PIA ntamkumbuka kwa kuendeleza asili la kabila lake ndani ya kampasi. Bila kusahau ubabe wa kuwazuia wanafunzi kufanya majadiliano ya kitaifa akidai wanafanya siasa huku yeye akiwa mwl wa siasa . Wonders !

Kama kweli umestahafu basi hongera ila Una ukwasi mkubwa Sana.
 
Politics issue ndio nini we kunguru
 
The Acting Vice Chancellor, Prof. Florens Luoga,

https://www.udsm.ac.tz/sites/default/files/Press Release - Death of Prof. Emeritus Robert.pdf
Kama ni kweli ameachia ngazi basi VC atoke kwa wagonga nyundo ! Binafsi nitamkumbuka Rwekaza kwa msimamo wake thabiti wa kuibeba CCM ya Jakaya 2005-2015 alikua mshauri wa Khalfani katika politics issue .

PIA ntamkumbuka kwa kuendeleza asili la kabila lake ndani ya kampasi. Bila kusahau ubabe wa kuwazuia wanafunzi kufanya majadiliano ya kitaifa akidai wanafanya siasa huku yeye akiwa mwl wa siasa . Wonders !

Kama kweli umestahafu basi hongera ila Una ukwasi mkubwa Sana.
 
Niliposikia Taarifa Ya Habari Wanataja V/c Wa UDSM Pr. Florens Luoga Nilizani Wamekosea.
 
Back
Top Bottom