Prof. Mukandala aongezewa mwaka mmoja kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,kupitia kwa Baraza la Chuo na mashauriano na Rais John P. J. Magufuli, amemuongezea mwaka mmoja uongozini Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Prof. Rwekaza Sympho Mukandala.

Prof. Mukandala,jana,alitarajiwa kumaliza kipindi chake cha pili cha miaka mitano. Aliteuliwa kuwa Makamu Mkuu wa UDSM mwaka 2006. Sasa atahudumu hadi Disemba 4 mwaka 2017.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.pdf
 
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,kupitia kwa Baraza la Chuo amemuongezea mwaka mmoja uongozini Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Prof. Rwekaza Sympho Mukandala.

Prof. Mukandala,kesho,alitarajiwa kumaliza kipindi chake cha pili cha miaka mitano. Aliteuliwa kuwa Makamu Mkuu wa UDSM mwaka 2006. Sasa atahudumu hadi Disemba 5 mwaka 2017.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 

Attachments

  • index.jpg
    index.jpg
    64.5 KB · Views: 69
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,Dr. Jakaya Mrisho Kikwete,kupitia kwa Baraza la Chuo amemuongezea mwaka mmoja uongozini Makamu Mkuu wa Chuo hicho,Prof. Rwekaza Sympho Mukandala.

Prof. Mukandala,kesho,alitarajiwa kumaliza kipindi chake cha pili cha miaka mitano. Aliteuliwa kuwa Makamu Mkuu wa UDSM mwaka 2006. Sasa atahudumu hadi Disemba 5 mwaka 2017.

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Teuzi zifanywe na Rais mkataba unaongzwa na Baraza .....................!!
 
Kwa mtizamo wangu inawezekana Maprofesa wetu wanastaafu katika umri mdogo (sijasema siyo wazee) na wakitoka hapo hawana kazi wanayokwenda kufanya zaidi ya kunywa Whisky na kulea wajukuu.
Sasa waache blah blah za vijana mjiajili, let then shut their mouths! Let nature take its course!
 
Mwacheni Mshaija amalize projects zilizoanza nae kama hostel n.k ili hata kama kutakua na majipu yamtumbukie mwenyewe
 
Wanasiasa wanakera, anahubiri kujiajili, mbona yeye anabaki? Si aondoke akajiajili kama ni virahisi hivyo!Hakuna wa kufanya utawala anaoufanya? Angekuwa daktari wa upasuaji ubongo, moyo ningelimuelewa, lakini hizi blah blah za utawala, everybody can manage particularly those so called Professors at his place!
Mkuu cha kushangaza Maprofessa wengi waliostaafu kwenye Public Universities sasa wako kwenye Private Universities.Vibabu vipo uko mpaka unashangaa nini maana ya kustaafu!! Kibaya zaidi kwenye miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000 walikuwa wanabana sana watu wasiwakaribie, matokeo yake kukawa na gap, ambayo ndio inajazwa jazwa sasa.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom