Prof. Mukandala adai CCM ina "wakati mgumu"! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Mukandala adai CCM ina "wakati mgumu"!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Halisi, Aug 19, 2008.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Prof. Mukandala amesema CCM ina wakati mgumu sasa kuliko wakati wowote ule kutoka vyama vya upinzani vianze. Amesema hayo leo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, sehemu ya Mlimani.

  Tusubiri zaidi kutoka huko.....
   
  Last edited by a moderator: Aug 19, 2008
 2. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2008
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Halisi,

  Lakini si unajua Prof. Mkandala ni Kada wa CCM WA SIKU NYINGI?
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2008
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mkuu Halisi,

  Sithani kama anawageuka, nathani ni mpango maalumu wa kuwatayarisha wananachi kabla ya hotuba ya rais JK August 21.
   
 4. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu utanisamehe lakini sijaona la maana hapa kwa kweli!
  If this is what we call breaking news then we are actually out of news!
  Mimi nimeingia kwenye hii thread haraka nikijua labda Mkandala ametoa baraka zake kwa Wanafunzi wa UDSM kugoma ili kudai mikopo ya kutosha na mazingira bora ya kujisomea kumbe its just the daily crap!
   
 5. SaidSabke

  SaidSabke JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2008
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 1,968
  Likes Received: 222
  Trophy Points: 160
  anayosema kuna ukweli mtupu tusubiri zaid.lakini nadhani si kutoka kwa wapinzani bali kutoka kwa wananchi ambao wanangoja kupata maelezo ya hatua zilizochukuliwa dhiidi ya mafisadi
   
 6. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  HUJAKOSEA KABISA MKUU.

  Ni kweli kabisa hakuna mpya kwa maana ya kuwa anachokisema kila mtu anakijua, lakini ni 'news' kwa wanahabari kwa kuwa Mkandara anajulikana kama kada wa CCM na si kada tu, bali mwanamtandao, aliyeshiriki kuwazuga Watanzania wakati wa mchakato na baadaye uchaguzi mkuu wa 2005.

  Lakini kama walivyosema baadhi yetu humu JF ni kwamba inawezekana ni katika ule mkakati wake wa tokea zamani wa kuendelea kutuzuga tuone kwamba sasa wana CCM wanajikosoa wenyewe na kutuandaa kisaikolojia kabla ya JK kuhutubia Bunge Alhamisi.
   
 7. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2008
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CCM ni vigeu geu,wanaweza kula matapishi yao hao.Huyo atasema hivi kesho atakuja na jingine la kukibeba chama.Yaani ni nonsense,utendaji zero.Nkikutana na mwenyekiti wa chama bara barani namgonga!!Labda atembelee ndege
   
 8. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nilishawahi kusikia huyu jamaa ni mtu wa karibu sana wa JK ndio maana aliweza kupata hiyo ofisi yake hapo UDSM.
  I have never seen such an administrator!Ameshindwa kabisa kukiongoza hiko chuo akaona ngoza atuzuge kidogo kwenye politics!
  SHAME ON THEM!
   
 9. IsayaMwita

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2008
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,123
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yebo yebo,

  Hapo nimekusoma Mkuu, kweli yawezekama ni kautaratibu kwa kuiandaa ile hotuba JK kule mjengoni.

  Sijapa kujua JK anataka kuliambia nini Taifa, isije ikawa kale kampango ka kuandaa Magereza kule ....., ili wajifanya kama wanataka kuwawajibisha Mafisadi na kuwapeleka pale, hapo ndipo tutakuwa tumezugwa kwelikweli, baada ya uchaguzi Tu , jamaa out.
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,935
  Trophy Points: 280
  If thats the case then ungesema Prof Mkandala awatayarisha wananchi kuipokea ccm UPYA na si kusema KAIGEUKA!
  Unajuwa maana ya kugeuka?
  Mtu bado ana kadi ya chama chake unasema kakigeuka chama chake?
  Labda kama ungesema KAIKOSOA ccm...May be tungeanzia hapo...

  Zaidi zaidi nakubaliana na notion kuwa haya yanaendana na hotuba ya alhamisi.
   
 11. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni vema tumeanza kushtuka kwamba hii ni sehemu ya sanaa. Huyu ni mwanamtandao, na hii ni sehemu ya harakati zao za kujisafisha. Given the history of the current gvt, haitatokea Mkandala akaigeuka CCM
   
 12. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  ina wakati mgumu kivipi?taarifa nilizo nazo ni kwamba pale Chuo kuna warsha ya kuangalia khali ya siasa katika Nchi yetu
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huu Ndio Ule Uandishi Uchwara Uliolalamikiwa Siku Chache Zilizopita (nadhani Ilikua Ni Ippmedia Kama Sikosei).
  Kaigeuka Vipi?
  Breaking News Gani?
  Sijui Tukoje Wengine Humu??????????????????????///  Aaaghhh... Cheap Stuff Like These Bore Stiff Banaaaa
   
 14. O

  Ogah JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Halisi,

  .....nafikiri heading sahihi ilitakiwa kuwa "....awapa TAHADHARI"....na sio kuigeuka.

  pili,....huyu bwana anataka attention ya CCM saa hizi na pia kujifanya yeye ni mtabiri makini...........in short HANA JIPYA
   
 15. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakati mwingine hawa Maprofesa wa chuo kikuu wana interest binafsi na vyama vya upinzani tuwaangalie sana.
  sasa kama mtu ni member wa chama fulani halafu anaitwa kwenye kipindi cha TV kuongea kama mwana nzuoni katika kuchangia hoja. hivi kweli hata kuwa biased hapo kweli?
  kama yule Dr.Mvungi nilikuwa namuamini sana lakini nilimshitukia wakati Bush amekuja hapa Tanzania kwenye yale maandamano. ingawqa huwa akiwa anaongea anakuwa kama haja declear interest na chama chochote ili kutuletea watanzania kuwa anayeongea anaongea kwa niaba ya wasomi kumbe hata yeye hayuko neutral.
  mwana nzuoni ongea ukiwa neutral lakini sio kuwa na interest. ukishakuwa na interest manaake umeshaharibu opinion yako.
   
 16. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2008
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Well there is no breaking news: hata hivyo JF wenyewe kwenye kuchangia kwenye thread hii watatengeneza agenda zao.... watajibizana wenyewe... mwishowe this "udaku" thread itakua na kuwa pages hata zaidi 50.

  WanaJF pia wengi kuna maneno wanayapenda kwa hiyo no wonder tutaiparamia hii threads.

  Wanzilishi wa Thread now wanajua catch words... nayo ndio hii mheshimiwa ameitumia.

  Mungu ibariki Tanzania
   
 17. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2008
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  huyu mtu hatujui hata nataka nini. atulie aongoze chuo siasa za nini? chuo kimeshamshinda ndani yamuda mfupi kwa sababu ya political affiliation
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Nothing like news here .Worse still not even breaking ones. Everybody knows that CCM is in a big shit .Who does'nt know? Ladba wenyewe ndio wanashtuka sasa hivi. Mkandara is nothing worth quoting. Lol
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mkandara wa Redet sio????
  Achoki huyu? kila mara na sisiemu, sisiemu, sisiemu.
  Huyu ni sisiemu damu. Hayo yote anajaribu kutupa mtama ili aone maoni ya wadau yakoje na aweze kuwatahadhalisha sisiemu wenzao.
  Yeye akae atafute pesa za kuendesha chuo, maana nacho kiko hoi. Kimeshapoteza hadhi limebaki jina tu. Mambo haya yanamhusu nini wakati na yeye ni mchangiaji katika failures za sisiemu?
  To hell with your sisiemu Mkandara. Wala hatuna hamu ya kusikia habari zake. Let it go to hell. Wametufisadi sana kwa kweli.
   
 20. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2008
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Duh,,,,, nadhani mode ipeleke kwenye udaku kama kweli haya maneno ni sahihi, maana!!!!!
   
Loading...