PROF MUHONGO WAZIRI BORA KABISA 2016

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,343
2,000
MUNGU akutienguvu

KIUKWELI NILIJARIBU KUPELEKA DOCS ZOTE EWURA NA OFISINI KWAKO KUJUA MAGAZETI YALIKUNUKUHUU VIBAYA AMA LAH

TUNASHUKURU MH WAZIRI MAANA NILISEMA 2017 MIMBA TUNGEKUFA

WAKATI WANAKUPINGA AWAKUJUA WE N YUSSUF WA TANZANIA

BARIKIWASANA

USHAURI TU

EWUR ITUMBULIWE MAPEMA
 
Ndungulila

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
317
225
Ila si
MUNGU akutienguvu

KIUKWELI NILIJARIBU KUPELEKA DOCS ZOTE EWURA NA OFISINI KWAKO KUJUA MAGAZETI YALIKUNUKUHUU VIBAYA AMA LAH

TUNASHUKURU MH WAZIRI MAANA NILISEMA 2017 MIMBA TUNGEKUFA

WAKATI WANAKUPINGA AWAKUJUA WE N YUSSUF WA TANZANIA

BARIKIWASANA

USHAURI TU

EWUR ITUMBULIWE MAPEMA
Amakweli si ni nyinyi mlikuwa mnasapoti ongezeko lkn hongera waziri
 
Batale

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,113
2,000
Kwangu bora kidogo ni Lukuvi. ardhi kuna matatizo kibao lkn anapambana na ubabaishashi ofc za umma umepungua mno. sasa komaa na wakulima na wafugaji, wanna hi na hifadhi/wawekezaji..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom