Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

dr.malulu

Senior Member
Jun 26, 2013
133
60
Tarehe mbili leo, Drama Mpya.

Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.

1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)

2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)

3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini
 
Kila mtu ni mnafiki, mnafiki!
 
Tatizo ni unafiki na kutumbuana
 
Tarehe mbili Leo,Drama Mpya

Nimemsikia prof Mhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme.Amegusia mambo matatu mhimu.

1.Amesema Tanesco walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka.Akaongeza mwaka Jana alifanikiwa kuokoa mamilion ya pesa yaliyokua yametengwa kwa ajili ya bonus....(Mbona hakusema siku zote?).

2.Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi,amesema haitawezekana tena tanesco kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda.Serikali anafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya Tanesco ikiwepo IPTL..(Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo made I?).

3.Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa Umeme,ameshitushwaa na matangazo ya ewura.Hakujua kinachoendelea ...yaan toka September to December hakua na taarifa.Yaani Mimi wa kijijini taarifa nilikia nayo kuwa tanesco wamepeleka mapendekezo ewura juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January. Waziri hakua na taarifa...hii imenikumbusha mbali pesa za escorow sio za umma....Huyu Mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.

Naenda kazini
Nchi ya maajabu kila kukicha maajabu mapya....
 
CC:Katibu Mkuu Wizara ya Nishati hapokwenye barua alafu asijue
1483333065093.jpg
 
Sasa kama itabidi wakope ili walipe madeni ya TANESCO je hawaoni kuwa Mkurugenzi wa TANESCO alifanya iliyo kwenye uwezo wake kujaribu kupandisha bei ili kampuni iweze kujiendesha?

Na hilo deni wanalokopa ili kutulipia umeme atalilipa nani kama sio mtumiaji wa umeme?hakuna shortcut kwenye hill, ni either tulifanyie kazi sasa au tuhairishe tatizo mpaka wakati mwingine.
 
Heeee jamani mbona kazi ? Hivi haya kasema kweli au mnamzulia ? Yaani serikali italipa madeni yote ya tanesco kwa kukopa pesa nje !!!!
Unalipa deni kwa kukopa ....si mzigo unaendelea kuwa mkubwa?
Tulikwa mbieni zile Pangaboi mngekopa badala kujidai kulipa taslim...lkaini nani akusikie
 
Sasa kama itabidi wakope ili walipe madeni ya TANESCO je hawaoni kuwa Mkurugenzi wa TANESCO alifanya iliyo kwenye uwezo wake kujaribu kupandisha bei ili kampuni iweze kujiendesha?

Na hilo deni wanalokopa ili kutulipia umeme atalilipa nani kama sio mtumiaji wa umeme?hakuna shortcut kwenye hill, ni either tulifanyie kazi sasa au tuhairishe tatizo mpaka wakati mwingine.
Very nice comment! In fact hiyo ya kukopa itakuwa more expensive route.
 
Serikali inatafuta popular kwa wananchi so ukiwa Mkuu wa idara ujafanya kitu kitakacho stua wananchi hata kama ni fact umekwisha. Vigogo serikalini muwe makini msimu huu wa Naenda kwa bibi, naenda kwa bibi
 
Fanya kazi sio kukosoa vitu vingine vinavyoonekana , kila ki2 mnapinga2 jaman weken siasa pembeni mjadili ki2. Na kabla ujapost ki2 kaachin na ufikilie mala mbili sio kulopoka na kujaza watu mambo yakinafiki. Fanya kazi acha unafiki, wewe ndo unajua sana kila ki2?chukua nafasi wewe tuone chukua fom na wewe 2020 unafiki tumechoka
 
Ni lini tutakuwa na viongozi wa kweli na waadilifu? Wasio waongo na wanafiki?
Kwenye uzinduzi wa mpango endelevu wa maboresho ya umeme jiji la Dar huyu huyu Muhongo alisikika akisema "TUNATAKA UMEME WA UHAKIKA. TANESCO NA MAPENDEKEZO YENU TUTAJIFUNGIA CHUMBANI TUONGEE" leo anasema hakuwa na taarifa.
Hapa namkumbuka Mh Kigwangala kipindi cha escrow alisema hajawahi kuona Profesa MUONGO kama Profesa Muhongo.
Ni aibu...
 
Back
Top Bottom