Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 13,992
- 20,281
Eeh Yesu kikombe hiki kituepuke!
Gazeti LA serikaliMkuu zile ni ofisi za umma...sio uswahilini ukiona bandiko la kigodoro ata kama lipo chooni unajivuta tuuu.....kule lazima kuwe na utaratibu taharifa ipelekwe kwa ujumbe maalum sio kukurupuka tu....Magazeti yenyewe ya Rostam Azizi na swahiba wake Lowassa unategemea nini?
Hii inaonyesha ni jinsi gani viongozi hawafanyi kazi.CC:Katibu Mkuu Wizara ya Nishati hapokwenye barua alafu asijueView attachment 453208
Hii inaonyesha jinsi gani hawafanyi kazi. Alitaka aambiwe vipi?CC:Katibu Mkuu Wizara ya Nishati hapokwenye barua alafu asijueView attachment 453208
Mkuu hivi umeelewa mantiki ya mtoa mada au unatoa tu povu?Wewe jamaa una fikra mfu sana,nitakupa majibu kwa hoja zako zote tatu.....!
1.Serikali itakopa na kulipa madeni ya Tanesco likiwemo deni sugu la IPTL......nani atalipa hili deni? Ni serikali yenyewe kupitia kodi zetu.
Nini faida ya kufanya hivi?
-deni la iptl sio fixed kumbuka lipo calculated percentage wise....therefore the more you delay to pay deni ndo linavyozidi kukua,
-faida ingine,unapolipa deni lenye riba at once maana yake unaokoa riba ya miezi/miaka ya mbeleni.
2.Issue ya kwamba hana taarifa ya ewura na Tanesco kuwa na process ya kupandisha tariff sio kwamba hajui kabisa maana kuna media lkn kumbuka serikali haifanyi kazi zake kupitia media ni lazima kuwe na official information kwahiyo kama hakuna,Waziri yupo sahihi kusema hajui chochote.
3. Kuhusu kujilipa bonus,hii ipo kwenye mashirika mengi ya umma na ndo chanzo cha mashirika mengi kufa......watu wanajilipa posho na allowance za ajabu ajabu,kwahiyo Waziri akizuia hizo posho sio lazima aje kwenye media na kuutangazia ulimwengu......angefanya hivyo mngeanza kuleta maneno yenu oooh serikali ya media.
NB. Ulichoandika humu ni utumbo mtupu,afu eti dr...!!
Waziri hapewi taarifa ya tanesco kupandisha bei kwa magazeti.Tarehe mbili leo, Drama Mpya.
Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.
1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)
2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)
3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.
Naenda kazini
Gazeti LA serikali
Gazeti la Serikali sio Rai wala UHURU
Bora uende kazini maana umezidi uongo na unafiki, swala na bonus lilishasemwa siku nyingi na prof.Tarehe mbili leo, Drama Mpya.
Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu.
1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya bonus (Mbona hakusema siku zote?)
2. Kuhusu madeni kulipwa kwa kuwapandishia bei wananchi, amesema haitawezekana tena TANESCO kulipa madeni kwa kutegemea bei kupanda. Serikali inafanya mpango wa kukopa pesa nje ya nchi ili kulipa madeni ya TANESCO ikiwemo IPTL (Baada ya kukopa nje nani atalipa hayo madeni?)
3. Amesema hakupata taarifa yoyote kuhusu kupanda kwa umeme, ameshitushwa na matangazo ya EWURA. Hakujua kinachoendelea, yaani toka September to December hakuwa na taarifa. Yaani mimi wa kijijini taarifa nilikuwa nayo kuwa TANESCO wamepeleka mapendekezo EWURA juu ya kupanda bei ya units ifikapo 2017 January halafu Waziri hakuwa na taarifa. Hii imenikumbusha mbali pesa za Escrow sio za umma. Huyu mzee namkubali sana ila akiamua kufanya drama ni zaidi ya Michael Jackson.
Naenda kazini
Hata sisi yaani wananchi ni wanafiki walipotangaza bei ya umeme itapanda tulilia waziri aingilie kati tanesco wasipandishe. Leo ameingilia kati tunasema waziri mnafiki.Kila mtu ni mnafiki, mnafiki!