Prof. Muhongo Ndiye aliyemleta yule mwarabu wa PAP Tanzania

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Umbea ,umbea ,umbea,umbea,.............. Weka ushahidi maneno matupu hayavunji mfupa.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Halafu ana jeuri mno hajui hata mchwa wanaweza kuangusha mbuyu....
Muhongo ni mtaalamu amezoea kuongea kisayansi kama moja ni moja tu wewe kama unataka kubembelezwa nenda kwa josephine mshumbushi ndiye anapenda kubembeleza.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,099
2,000
Hata sijui uprofesa wake aliupata vipi, eti anatoa vitisho sijiuzulu ng'o nikijiuzulu nchi itatikisika!!!! Hana akili huyu Muhuongo nchi mbona imeshatikisika, mahospitali hayana madawa, hazina hakuna pesa, elimu imeanguka, rais wa nchi ndiyo hivyo tena anapokuwepo akiwa hayupo Wananchi hatuoni tofauti yoyote ile, Waziri Mkuu wamemng'ong'a Bungeni sasa huku kama si kutikisika kwa nchi sijui kama kuna mtikisiko mkubwa zaidi ya huu. Ajiuzulu tu au yule Professor wa kusubiri mashinikizo ya Wabunge apewe shinikizo lingine ili amtimue na yeye mwenyewe aachie ngazi tuwe na Serikali ya mpito kuelekea uchaguzi Mkuu 2015.

Halafu ana jeuri mno hajui hata mchwa wanaweza kuangusha mbuyu....
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
NIMEAMINI KUNA MKAKATI wa makusudi wa kutaka kuhakikisha Profesa Muhongo anaondoka kwenye nafasi ya uwaziri!! Hata hizi habari za kunyofolewa kwa nyaraka bila shaka lengo lake ndo hilo hilo kwa sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kunyofoa kurasa za ile ripoti akadhani kwamba atanusurika wakati anafahamu fika kwamba hata akinyofoa, bado kuna nyaraka zingine kama hizo sehemu kadhaa not mentioning the soft copies.
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,917
1,225
Hata sijui uprofesa wake aliupata vipi, eti anatoa vitisho sijiuzulu ng'o nikijiuzulu nchi itatikisika!!!! Hana akili huyu Muhuongo nchi mbona imeshatikisika, mahospitali hayana madawa, hazina hakuna pesa, elimu imeanguka, rais wa nchi ndiyo hivyo tena anapokuwepo akiwa hayupo Wananchi hatuoni tofauti yoyote ile, Waziri Mkuu wameng'ong'a Bungeni sasa huku kama si kutikisika kwa nchi sijui kama kuna mtikisiko mkubwa zaidi ya huu. Ajiuzulu tu au yule Professor wa kusubiri mashinikizo ya Wabunge apewe shinikizo linguine ili amtimue na yeye mwenyewe aachie ngazi tuwe na Serikali ya mpito kuelekea uchaguzi Mkuu 2015.[/QUO
Huu ujinga kawaeleze hawa wazee wako.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,227
2,000
Hata sijui uprofesa wake aliupata vipi, eti anatoa vitisho sijiuzulu ng'o nikijiuzulu nchi itatikisika!!!! Hana akili huyu Muhuongo nchi mbona imeshatikisika, mahospitali hayana madawa, hazina hakuna pesa, elimu imeanguka, rais wa nchi ndiyo hivyo tena anapokuwepo akiwa hayupo Wananchi hatuoni tofauti yoyote ile, Waziri Mkuu wameng'ong'a Bungeni sasa huku kama si kutikisika kwa nchi sijui kama kuna mtikisiko mkubwa zaidi ya huu. Ajiuzulu tu au yule Professor wa kusubiri mashinikizo ya Wabunge apewe shinikizo linguine ili amtimue na yeye mwenyewe aachie ngazi tuwe na Serikali ya mpito kuelekea uchaguzi Mkuu 2015.

Ha ha ha labda litatikisika tumbo lake...

Mtu mwenyewe hata uchungu Wa kutafuta kura haujui anabaki kutoa reason za kitoto.....

Akajaribu hata kugombea uenyekiti Wa mtaa aone atakavyojidharau.....

Eti Tanzania itatikisika ha ha ha alijiuzulu Lowassa na wenye harusi zetu tuliendelea atakuwa yeye?

Alianguka chenge na asubuhi watu tukaenda masokoni atakua Muhongo asiyejua hata kura zinaombwaje?

He is too low....
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,099
2,000
Hujitammbui wewe, Nape alikuokota mitaa ya Kariakoo ili uje kuandika pumba hapa na hivyo kuharibu mijadala muhumi inayohusu Taifa letu. Watoto wa vikopo ndivyo walivyo!! Pole zako maana hujui ufanyalo taahira wewe. Rudi Kariakoo ukaendelee na biashara yako ya kuuza madawa ya kulevya.

Huu ujinga kawaeleze hawa wazee wako.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Mkuu tatizo umefikiria kuwa waliochomoa hizo mambo wamefanya kama vile chopeku alivyonyofoa mnofu...

NIMEAMINI KUNA MKAKATI wa makusudi wa kutaka kuhakikisha Profesa Muhongo anaondoka kwenye nafasi ya uwaziri!! Hata hizi habari za kunyofolewa kwa nyaraka bila shaka lengo lake ndo hilo hilo kwa sababu mtu mwenye akili timamu hawezi kunyofoa kurasa za ile ripoti akadhani kwamba atanusurika wakati anafahamu fika kwamba hata akinyofoa, bado kuna nyaraka zingine kama hizo sehemu kadhaa not mentioning the soft copies.
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,227
2,000
Muhongo ni mtaalamu amezoea kuongea kisayansi kama moja ni moja tu wewe kama unataka kubembelezwa nenda kwa josephine mshumbushi ndiye anapenda kubembeleza.

You're such a notorious twit not worth to argue with....

Ni mbwa mdogo Sana kwa hili pambano....

Kama anajua kuongea kisayansi anahangaika nini Dodoma? Vikao vya usiku vya nini?

Halafu mushumbusi kaingiaje hapa?? Una akili fupi mno Kama maisha ya funza.
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,274
2,000
Mkuu tatizo umefikiria kuwa waliochomoa hizo mambo wamefanya kama vile chopeku alivyonyofoa mnofu...
Kivipi? Hebu fafanua! Au labda nikuulize jambo moja ndugu yangu... hivi ungekuwa wewe ungenyofoa kurasa za hard copy na bado ukaamini kwamba utasalimika? Does it make any sense? Unyofoe zilizo kwa PAC na Bungeni wakati unafahamu kabisa kwamba kuna nakala zingine ofisi za CAG, PCCB na sehemu zingine? Hilo moja, mbili, ingeingia akilini watu wangesema JK ametajwa kwahiyo wazee wa kazi wameamua kuiba zile zilizopo bungeni kwa kuwa huko kwa CAG na PCCB wana access nako! The question follows! Hivi ripoti hiyo ingemtaja JK unadhani ingweza kufikishwa bungeni kabla wazee wa kazi hawajaishughulikia wakati imetokea huko huko? Au unadhani hata CAG na PCCB wenyewe wangehitimisha kuandika ripoti kabla ya hawajampigia JK nakumuuliza "Mzee Ripoti inaku-implicate moja kwa moja... what should we do?"
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,227
2,000
kumbe...!!!!

halafu mkulu alimteua huyu bwana kwa mbwembwe sana raia wakamuamini...

alipoanza sasa kuonesha rangi zake, ndipo raia tukajua kumbe jamaa ni zaidi ya profesa...

sasa tumejua ni pro-fisadi
Nakumbuka yule mama Blandina Nyoni alikuwaga jeuri zaidi ya huyu bwana miamba....

Kilichompata imekua simulizi kwa wajukuu zake....
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
21,227
2,000
Hata sijui uprofesa wake aliupata vipi, eti anatoa vitisho sijiuzulu ng'o nikijiuzulu nchi itatikisika!!!! Hana akili huyu Muhuongo nchi mbona imeshatikisika, mahospitali hayana madawa, hazina hakuna pesa, elimu imeanguka, rais wa nchi ndiyo hivyo tena anapokuwepo akiwa hayupo Wananchi hatuoni tofauti yoyote ile, Waziri Mkuu wameng'ong'a Bungeni sasa huku kama si kutikisika kwa nchi sijui kama kuna mtikisiko mkubwa zaidi ya huu. Ajiuzulu tu au yule Professor wa kusubiri mashinikizo ya Wabunge apewe shinikizo linguine ili amtimue na yeye mwenyewe aachie ngazi tuwe na Serikali ya mpito kuelekea uchaguzi Mkuu 2015.[/QUO
Huu ujinga kawaeleze hawa wazee wako.
Sasa hii inatoa jibu gani labda kwa mjadala huu?
 
Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
787
500
JF imevamiwa na watu wenye mtindio wa ubongo,1995 prof alikuwa wap wewe?tumia akili yako vizuri,prof ameingia wizaran lini?mbona watu mnawaza kwa kugumia masabuli?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom