CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Mheshimiwa, ulitoa utaratibu mzuri wa kuwapima utendaji kazi mameneja wa Tanesco kuwa: WATAPIMWA KWA WATEJA WANGAPI WAPYA WA UMEME ALIOWATAFUTA KWA MWEZI. THAT WAS GOOD! a very good innovation. Tumesubiri waje kututafuta tupate umeme hawajaja na hakuna hatua unayochukua.
HATUJASIKIA MAMENEJA WAMETUMBULIWA KWA KUTOPATA WATEJA. Inaonekana ulikuwa ni mchezo tu wa kuigiza. Katika hali halisi kwa tamko lako, tungeliwaona wanapita kwenye nyumba zisizo na umeme wanachukua hela na kuweka umeme.
Prof, tafakari chukua hatua!