Prof. Muhongo atizamwe kwa jicho la tatu tusije tukapoteza jembe?

Licha ya kuandamwa na kashfa za madini na escrow kuna umuhimu huyu mtaalamu akaangaliwa kwa jicho la tatu Kwa sababu bado nina amini huyu mzee ni jembe na mchapakazi......

Huyu mzee Nakumbuka ndio aliolinuaa shirika la tenesco na pamoja utaratibu wa umeme vijijini
Na hadi leo karibia asilimia 80 vijijini kuna umeme kwa sababu yake pamoja na kuinua shirika la tanesco hii muhimu sana ?

Ikumbukwe ya kwamba hata wiliam ngeleja alivyoondoka hii wizara huyu mzee ndio mtu pekee alipigana kulinua hili shirika....

Hivyo ushauli wangu huyu mtalaamu aangaliwe kwa macho mawili tena tusije tukampoteza badae tukaanza kulaumiana ?

Kama ni jembe chukua ukalimie kwenu!! Kashfa mbili kubwa kwa mtu huyo huyo. We unadai ni jembe, binafsi nimekuruhusu chukua ukalimie kwenu mkuu.
 
Anastahili kufundisha ili kuzalisha watalamu wengine wengi kama yeye
 
Licha ya kuandamwa na kashfa za madini na escrow kuna umuhimu huyu mtaalamu akaangaliwa kwa jicho la tatu Kwa sababu bado nina amini huyu mzee ni jembe na mchapakazi......

Huyu mzee Nakumbuka ndio aliolinuaa shirika la tenesco na pamoja utaratibu wa umeme vijijini
Na hadi leo karibia asilimia 80 vijijini kuna umeme kwa sababu yake pamoja na kuinua shirika la tanesco hii muhimu sana ?

Ikumbukwe ya kwamba hata wiliam ngeleja alivyoondoka hii wizara huyu mzee ndio mtu pekee alipigana kulinua hili shirika....

Hivyo ushauli wangu huyu mtalaamu aangaliwe kwa macho mawili tena tusije tukampoteza badae tukaanza kulaumiana ?
NgojA tutawaletea awe raisi wa manzese
 
Mm pia naamini hivyo!!

Hii issue si Prof. Mhongo ni Mkapa na JK.
Hata ungechukua huyo Prof. wa hiyo tume + ma Prof wote wa UDSM kwa mfumo ulivyo kuwa awali wasingeweza kubadili chochote kamwe.

Mtamkumbuka tu very soon

Hata Mkapa na Jk wanazo minutes za Vikao vya Baraza la Mawaziri vilivyopitisha Mikataba hiyo under Collective responsibility ambako JPM alikuwa Mjumbe na alishiriki hatua zote za kuridhia Mikataba ile

Akimwaga Ugali wenzie watamwaga Mboga na kuni wataloweka kwny Pipa la Maji
 
Karibia asilimia 80 ya viijiji kuna Umeme?!
Kweli wewe ni msela wa manzese.
 
Licha ya kuandamwa na kashfa za madini na escrow kuna umuhimu huyu mtaalamu akaangaliwa kwa jicho la tatu Kwa sababu bado nina amini huyu mzee ni jembe na mchapakazi......

Huyu mzee Nakumbuka ndio aliolinuaa shirika la tenesco na pamoja utaratibu wa umeme vijijini
Na hadi leo karibia asilimia 80 vijijini kuna umeme kwa sababu yake pamoja na kuinua shirika la tanesco hii muhimu sana ?

Ikumbukwe ya kwamba hata wiliam ngeleja alivyoondoka hii wizara huyu mzee ndio mtu pekee alipigana kulinua hili shirika....

Hivyo ushauli wangu huyu mtalaamu aangaliwe kwa macho mawili tena tusije tukampoteza badae tukaanza kulaumiana ?

Ni jembe ndio,lakini c kwa ardhi hii,kuwa jembe haimaanishi kila ardhi utafiti,atafute ardhi yenye udongo atakaoumudu
 
achana na muhongo muda huu atakuwa ndani ya Fly Emirates anaenda zake duniani kushughulikia issue za miamba, usichezee mtu aliyesoma mpaka mwisho.
Mkuu heshma yako tatizo watz tumenyimwa elimu basiiiiiiiiiiiii
Hatuelewi leo hakuna tukijuacho acha tushangilie tu hatuna elim sasa tutafanyaje
 
Mm pia naamini hivyo!!

Hii issue si Prof. Mhongo ni Mkapa na JK.
Hata ungechukua huyo Prof. wa hiyo tume + ma Prof wote wa UDSM kwa mfumo ulivyo kuwa awali wasingeweza kubadili chochote kamwe.

Mtamkumbuka tu very soon
Elimu mkuu elimu tumenyimwa hatujui sie washangiliaji tu
Lorry bado linakwenda taratibu
 
Licha ya kuandamwa na kashfa za madini na escrow kuna umuhimu huyu mtaalamu akaangaliwa kwa jicho la tatu Kwa sababu bado nina amini huyu mzee ni jembe na mchapakazi......

Huyu mzee Nakumbuka ndio aliolinuaa shirika la tenesco na pamoja utaratibu wa umeme vijijini
Na hadi leo karibia asilimia 80 vijijini kuna umeme kwa sababu yake pamoja na kuinua shirika la tanesco hii muhimu sana ?

Ikumbukwe ya kwamba hata wiliam ngeleja alivyoondoka hii wizara huyu mzee ndio mtu pekee alipigana kulinua hili shirika....

Hivyo ushauli wangu huyu mtalaamu aangaliwe kwa macho mawili tena tusije tukampoteza badae tukaanza kulaumiana ?
Mbona dhahabu ilikuwa inaibwa alikuwa wapi na utaalamu wake? beside nchi hii ina wasomi wengi tu wenye kiwango kama chake so aende tu!
 
Mkuu heshma yako tatizo watz tumenyimwa elimu basiiiiiiiiiiiii
Hatuelewi leo hakuna tukijuacho acha tushangilie tu hatuna elim sasa tutafanyaje
unajua watu wanashangilia bila kujua muhongo hana cha kupoteza na pia hii inampa oportunity ya kupiga michongo mbele tena yenye mkwanja mrefu. Historia ya watu wanaotumbuliwa na Magufuli tunaijua, angalia dr mwele sasa hivi yupo wapi (anapiga dili za maana) angalia dr mataragio tulimtoa marekani akaacha dili za maana akaja hapa mwisho wa siku tukamgeuka, angalia yule mama aliyetolewa south na kikwete magufuli alimfanyaje??? Yaani simply Magufuli is a man of petty issues hana long term plan.
 
Licha ya kuandamwa na kashfa za madini na escrow kuna umuhimu huyu mtaalamu akaangaliwa kwa jicho la tatu Kwa sababu bado nina amini huyu mzee ni jembe na mchapakazi......

Huyu mzee Nakumbuka ndio aliolinuaa shirika la tenesco na pamoja utaratibu wa umeme vijijini
Na hadi leo karibia asilimia 80 vijijini kuna umeme kwa sababu yake pamoja na kuinua shirika la tanesco hii muhimu sana ?

Ikumbukwe ya kwamba hata wiliam ngeleja alivyoondoka hii wizara huyu mzee ndio mtu pekee alipigana kulinua hili shirika....

Hivyo ushauli wangu huyu mtalaamu aangaliwe kwa macho mawili tena tusije tukampoteza badae tukaanza kulaumiana ?
mavi ya kuku mchapa kazi gani labda njaa mtu ukimuona kaenda ccm ujuwe ni njaa tu kwake tumbo ni bora kuliko chochote ni profesa njaaa
 
Licha ya kuandamwa na kashfa za madini na escrow kuna umuhimu huyu mtaalamu akaangaliwa kwa jicho la tatu Kwa sababu bado nina amini huyu mzee ni jembe na mchapakazi......

Huyu mzee Nakumbuka ndio aliolinuaa shirika la tenesco na pamoja utaratibu wa umeme vijijini
Na hadi leo karibia asilimia 80 vijijini kuna umeme kwa sababu yake pamoja na kuinua shirika la tanesco hii muhimu sana ?

Ikumbukwe ya kwamba hata wiliam ngeleja alivyoondoka hii wizara huyu mzee ndio mtu pekee alipigana kulinua hili shirika....

Hivyo ushauli wangu huyu mtalaamu aangaliwe kwa macho mawili tena tusije tukampoteza badae tukaanza kulaumiana ?
Ndugu yangu shida sio utendaji tu Bali uaminifu na uzalendo wa maslah ya umma

Embu vaa uhusika wewe ujikute ndo unaongoza wizara na kuna uozo Kama huu ,,,,ivi unaitaji kusamehewa kweli ??trillion ngapi zinapotea na nchi haifaidiki??

Kwa kauli yako Muhongo ni jembe LA nini??? Kulima umaskini na kutupa mavuno ya dhiki na kuombaomba kila Leo??? Kwakweli kiongozi mzembe asiyetetea maslah ya umma huyo ni mchawi na hastahili wadhifa wowote labda kumuongoza mke na wanae
 
achana na muhongo muda huu atakuwa ndani ya Fly Emirates anaenda zake duniani kushughulikia issue za miamba, usichezee mtu aliyesoma mpaka mwisho.
Laiti ungejua anavyopenda cheo ungemuuhurumia saa hiii analia
 
Back
Top Bottom