zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
sasa muhongo akiwa waziri mkuu nani atakuwa waziri wa nishati na madini?
Mizengo Pita Kayanza Pinda
sasa muhongo akiwa waziri mkuu nani atakuwa waziri wa nishati na madini?
Ccm hapamfai ajiunge kwa wapambanaji
Ndugu zangu hawa wanasiasa huwa hawatabiriki.
Watu walikuwa na imani sana na 'mtoto wa mkulima' Pinda lakini mwisho wa siku amekuwa hopeless.
Honorary Research Fellow of the Chinese Academy of Geological Sciences.
hivi unajua watu wenye elimu kubwa sana huwa hawafanyi vizuri kwenye uongozi? hao wanatakiwa wabaki vyuoni wafundishe watoto wetu au wawe washauri wetu wakatu huohuo wakifundisha watoto wetu....
almost similar optimism was shown when idrisa rashid was taking over as tanesco CEO but things didn't turn out the way we expected...