Prof. Mkenda, Waziri bora na wa mfano

Akiwa Maliasili walizinguana sana na Kigwangala
Na hapo ndipo pana tia shaka kwa mtu mnyenyekevu asingepaswa kuvutana sana na boss wake kiasi hicho hadi issue inafika kwa raisi bado hamkubali na ugomvi unaendelea hadi anawatishia kuwafukuza wote!!!!
 
Hiki ndio kiwe kipimo cha utendaji wa waziri ndani ya wizara?
Bei ikipanda maradufu kama ilivyo sasa hivi duniani, waziri afanye nini, atoe 'subsidy'? Mbona huu sio uamzi wa waziri pekee yake!
Wamepandisha kodi kwenye mbolea ulitegemea isipande halafu wanatoa mikwara kwa wafanyabiashara wa pembejeo.

Waziri bora anafanya kazi kwa mikwara ?
 
Hiki ndio kiwe kipimo cha utendaji wa waziri ndani ya wizara?
Bei ikipanda maradufu kama ilivyo sasa hivi duniani, waziri afanye nini, atoe 'subsidy'? Mbona huu sio uamzi wa waziri pekee yake!
Anyway pamoja na kupanda bei kwa pembejeo mazao mengi yameporomoka bei hasa cereals je waziri hana majibu ya hili pia ?
 
..tofauti na wanasiasa wengine nadhani Mkenda na Bashe wako open minded.

..nimewasikia mara kwa mara wakisema wako tayari kuwasiliza wadau wa kilimo ili kutatua changamoto zao.

..binafsi I want to see them implement kile walichoahidi tuone kama kitatoa matokeo mazuri.
Bashe ni mpiga kelele tu kama wapiga kelele wengine.

Hivi unajua zao la tumbaku limeshakufa kibudu ?

Mwaka jana aliwandanganya wakulima walime serikali itatafuta soko walipolima wanaambiwa wauze tumbaku kwa mnada kama nguo za mitumba na mnunuzi hakuwepo huu ndiyo ubora wa huyo waziri?
 
..tofauti na wanasiasa wengine nadhani Mkenda na Bashe wako open minded.

..nimewasikia mara kwa mara wakisema wako tayari kuwasiliza wadau wa kilimo ili kutatua changamoto zao.

..binafsi I want to see them implement kile walichoahidi tuone kama kitatoa matokeo mazuri.
Bashe ameshakutana na kila sekta ya wakulima umeona akitatua hata changamoto moja ?
 
Alikemea matumizi mabaya ya Mhe. Waziri wa Maliasili wa wakati ule mpaka Mhe. Rais akaagiza kuwa wapatane. Prof. alikuwa sahihi kwa sababu ya matumizi yasiyolenga wananchi. Hongera sana Prof. Mkenda. Naona mwenzake ambaye sasa hivi siyo Waziri anamuonea sana wivu.
 
Na hapo ndipo pana tia shaka kwa mtu mnyenyekevu asingepaswa kuvutana sana na boss wake kiasi hicho hadi issue inafika kwa raisi bado hamkubali na ugomvi unaendelea hadi anawatishia kuwafukuza wote!!!!
Boss mwenyewe Kigwangala?
 
Back
Top Bottom