Prof. Mkenda ni muadilifu anachokosa ni uchapa kazi na ubunifu (flexibility, creativity na exposure)

Sheria imempa uwezo waziri wa kilimo pekee kutoa vibali.Shida ni kwamba katika issue ya sukari yule anayesimamia vizuri ndo husakamwa zaidi hìi ni kutokana na dili za kujipatia fedha...
We hutaki fedha unataka nn
 
Utamlaumu bure professor. Udumavu wa kilimo nchini ni matokeo ya mipango mibovu ya serikali kwa ujumla tokea tumepata uhuru. Kilimo kimebakia kuwa ngonjera za kisiasa - " kilimo ni uti wa mgongo", " kilimo ni mkombozi wa mtanzania" etc lkn ukipitia kwa makini hakuna seriousness, dedication ya serikali katika kuinua kilimo. Jiulize kilimo kinatengewa budget kiasi gani kila mwaka ndio utatambua kuwa hata uweke Mawaziri wote3 uliowataja kwa pamoja katika wizara hii wataishia kusoma magazeti.
Ndio maana akapewa professor ili afanye changes lakin ameshindwa
 
Mimi simuoni kama best elite with high IQ sababu zangu ni hizi

Kauli ya kuwa kamwe hatokubali kutoa vibali sio kauli ya level ya wizara ni zaidi ya Mamlaka yake aliongea as if ni Rais au Waziri Mkuu
Ilikua ni sawa kwa Majaliwa kutoa io statement sio Waziri.

Kulinda viwanda vya ndani hakuna mantiki kama viwanda hivyo havifikii malengo ya uzalishaji. Hadi sasa tumeshindwa kwenda na comparative analysis kati ya uzalishaji wa viwanda na importation.

Pia viwanda vya ndani haviwezi kufanya vizuri kama waagizaji wa sukari ndio wamiliki wa viwanda hii inahitaji akili sio kanuni za darasani.

Viwanda vya ndani vitashindana vipi na soko la nje wakati hakuna unafuu kwenye pembejeo, still wakulima wanapractise primitive farming.

Sina shaka nae kwenye utaratibu lakini nina mashaka nae kwenye efficiency.

Bashe he could be better minister coz anajua dhana ya Biashara na Uwekezaji kwa vitendo ilihali Mkenda anajua kwa theory kilimo kinataka skilled practical than theory

Mkuu P
Nazani hii argument imekubalika

Bashe sasa ni mtu SAHIHI kwenye wizara ya Kilimo
 
Back
Top Bottom