Prof. Mkenda: Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi inaongoza kwa udumavu kwa watoto

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi

Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41%

Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na juhudi za kuhakikisha hali ya utapiamlo nchini inapungua

mkenda.jpg
 
Back
Top Bottom