"Kutofautiana mawazo ndo uhai wa taaluma" amesema Prof. Mbele kwenye hilo andiko lake . Sasa ulitaka Prof. Kabudi mawazo yake yafanane na Prof. Mbele? kwasabbu tu yeye ameamua kuwa upande lissu? Huo siyo utamaduni wa wanataaluma. Wanataaluma wanapingana kwa hoja. Prof. Kabudi akiamua kujibu haya, unaweza ukahisi Prof.mbele alikurupuka usingizini akaandika bila kufikiri.Well said.
Hivi kina Kabudi akili za hivi waliziflashia kwenda septic tank ipi?
Sitoshangaa pia siku Prof. Mbele akitoa mawazo tofauti na mnayoyataka nyinyi, mtamgeuka kama mlivyomgeuka Kakobe.
Sent using Jamii Forums mobile app