Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,582
Kuna wakati tunaitaji kuombewa tubadilike ila wakati mwingine tunapigwa sehemu ili tubadilike
Kuna hii ndege ya Crj 200 hii ndege inaitia atcl hasara imekuwa ikinywa mafuta kupitiliza NA hats baadhi ya injijia wanajiuliza kwanini inaendelea kutumika
Mh waziri pesa wanayolipa KWA mwezi kiukweli tunauwezo Wa kulease ndege zaidi ya mbili dash-8
Ila kwakuwa kunawatu awana haya wanawwza maslahi yao binafsi awangalii hasara nchi inayopata wanaangalia wakiingia mkataba wanapata ninii NA hiki ndicho kinatumaliza
Mh Waziri wakati wakuangalia huu mkataba upya NA inapoonekana auna maslahi NA taifa tunaomba uvunjiliwe mbali tuangalie maendeleo
Kingine tunaitajii kuwa waangalifu sana has a kwenye kulease hizi ndege..wengi awaangalii maslahii ya nchi wakishirikiana NA baadhi ya viongozi Wa wizara yakoo matokeoo tunakuja juta kama Ndege ya mlebanon
Haya n mambo muhimu sana kuangalia kwenye uongozi wako My waziri msikubali kulease ndege bila kupeleka watu unaowaamini wewe ili kunusuru taifaa...
Walileta ndege ya mlebanon imekaa hapo airport miezi saba NA bado ikaendelea kulipwa n hizi nikodi za wananchi
Ifike walati tuseme imetosha mh Waziri..hats ununuzi Wa vipuri vyote usimamiwe NA wizara yako kama tunaitaji kufika Dk Magufuli anapotaka tufike.....
TUSIFIKE KILA SAA TUNAONA ATCL INAKUWÀ MARA INASHUKA NDEGE ZIMEARIBIKA TUWAWAJIBISHE WANAOCHELEWESHA NDEGE KUKAA ARDHINI..ILE NI HELA..
KUNAKIPINDI WAZIRI MMOJA SITOMSAHAUU ALIKUWA WIZWRA YAKO HAPO HAPO ANA SHARE NA KAMPUNI MOJA YA NDEGE ..IKAFIKA WAKATI ATCL INAOMBA HELA KUKOPA NDEGE AKASEMA AKUNA HELA CHAA AJABU AKAPOKEA BARUA YA MKOPO SERIKALI IIKOPESHE ILE KAMPUNI ALIOKUWA NAYO SHARE KAMA SI WANAUME KWENDA MBALI ZAIDI ILIKUWA NI VITUKO
LEO HII TUKUWEKE WAZI KUNA WAFANYAKAZI WAKO HAPO WAKISHIRIKIANA NA HAZINA WAMEKUWA WAKIISALITI ATCL KWA KUSHINDWA KUNUNUA VIPURI VYA NDEGE PALE INAPOTAKIWA
KUWEPO NA UCHUNGUZI TIMILIFU PALE KIPURI KINAPOBADILISHWA NA KIANGALIWE KWA NINI KISIREKEBISHWE KWANZA HATAKAMA KUTUMA SAFRICA NA BEI YA KUNUNUA KIPYA
KUWEPO NA MKATABA WA KAMPUNI YOYOTE TOLA SAFRICA AMA ANY INAYOWEZA KUFANYIA CHECK C NDEGE ZETU BADALA YA KUTUMIA GARAMA KUBWA KUPELEKA NDEGE NA KURUDI
TUKUMBUKE NAO NI BINADAMU WANAWEZA KUTUCHAKACHUA VIPURI NDEGE IKIWA HANGA ZAO LAKINI TUKISIMAMIA WENYEWE LABDA NA WAKWETU WABADILIKE..TULETE ENG WAKISHIRIKIANA NA WAKWETU ZILETWE SPARE HAPA WATUWAPIGE KAZI..,
TUNAITAJI KUONA ATCL IKIWA JUU NA KULITANGAZA TAIFA LA TANZANIA NA MALI ASILI ZAKE MBUGA ZETU ..WANYAMA WETU MILIMA YETU
KILA LA KHERI MH WAZIRI