Prof. Mbarawa fanya mabadiliko kituo cha Ubungo kiwe cha daladala na SIMU 2000 kiwe mabasi ya mikoa

Ni wazo zuri sana, pia itapunguza foleni katika bara bara ya Samnujoma
Barabara ya Bagamoyo - Msata imekamilika . Mbona Mabasi ya Mikoa ya Kaskazini hayapitii? Au ni wastage of Money tena za watz? Au ilikuwa mradi wa JK wa kwenda Msoga akitokea DSM?
 
Ukitaka yafiti inawezekana, mabasi ya tanga, moshi arusha yahamishiwe bunju karibu na daraja. Ya kusini yaanzie mbagara, baadhi ya dom na mbeya yaanzie kibaha. Hapo no foleni na mwendo kasi itaendeshwa kwa faida.
Hata sijui maan yako ni nin
 
Huoni ni tatizo kwa mimi wa Dodoma kusafiri hadi kibaha wakati naishi segerea!!
 
Kwa Tanzania haliwezekani, ingawa ni Jambo nzuri. Utasikia miundombinu ya sim2000 sirafiki, hakuna ofisi za mabasi n.k..
 
Hata sijui maan yako ni nin
KILA SIKU MJI UKIKUA ITAKUWA KUHAMISHA TU? HAFANYWAGI HIVO NENDA MIJI JIKUBWA DUNIANII HAWAHAMISHI SEHEMU KUU ZA KUSAFIRIA KUTOKA NA KUINGIA NDANI YA MAJIJI HAZIHAMISHWI ILA WANAWEKA VITUO VYA KATI KAMA MBEZI NA MBAGALA NA KUWEZESHA WANAOSHUKIA VITUO HIVYO KUPATA UAFIRI WA KARIBU NA ANAKOENDA AU KUJAKWENYE VITUO HIVYO.HIKI CHA SIMU 2000 NI HOPELES PLANNING YA HUJUMA.KILE KITUO KINATOSHA KUTUMIKA KWA BASI ZOTE ZA MIKOANI NA JIJINI. VICTORIA STATION LONDONIVINATUMIKA KWA MABASI YA JIJINI NA YANAYOENDA NJE YA JIJIINA KARNE NYINGI HAPO. PIA COPEN HAGGEN NK? TUSIKUBALI TU KILA KITU. MUNGU ATAMUONA ALIEFANYA HAYA NA KUTAABISHA WENGINE KWA VILE YEYE AMAJALIWA KUWA NA GARI BINAFSI. NAWASHUKURU SANA MADEREVA WA DALADALA KWA KUTUSAIDIA NA KUTEREMSHA ABIRIA UBUNGO STENDI ALFAJIRI KABLA POLISI HAWAJAFIKAKUWAKAMATA?
 
Ukitaka yafiti inawezekana, mabasi ya tanga, moshi arusha yahamishiwe bunju karibu na daraja. Ya kusini yaanzie mbagara, baadhi ya dom na mbeya yaanzie kibaha. Hapo no foleni na mwendo kasi itaendeshwa kwa faida.

Ungesema ijengwe stand mpya katikati ya Mbezi na Pugu halafu mwendokasi yaanzie kwenye stand hiyo ili kuwarahisishia wasafiri kutoka pande zote za mikoa ya kusini na maeneo mengine
 
Kwa Tanzania haliwezekani, ingawa ni Jambo nzuri. Utasikia miundombinu ya sim2000 sirafiki, hakuna ofisi za mabasi n.k..

Kusema ukweli Simu 2K ni padogo sana kwa mabasi ya mikoani
 
Back
Top Bottom