Prof. Mbarawa asafiri kwa treni kurejea Dar kutoka Dodoma

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Leo Waziri Mbarawa ameamua atumie usafiri wa gari Moshi kurejea Dar baada ya kumaliza kikao cha Bunge

CsiRGFFXgAAWFb5.jpg
 
Yuko sahihi tu,iwe ameenda na waandishi au waandishi ndio wamemfuata,kwasababu yeye ni waziri na hapo ni kuwahamasisha wananchi kuwa kwa sasa usafiri uko poa na kila raia anaweza kusafiri nao.Kwa mana nyingine ni kama anafanyia promo train yetu jambo ambalo si baya.
 
Maigizo ya ccm hayatakuja kuisha kamwe.....Kwa hiyo sisi tufanyeje sasa.....kwa hiyo akiugua atatibiwa mhimbili pia? Au unadhani watoto wake wanasoma shule za kata?
 
Yuko sahihi tu,iwe ameenda na waandishi au waandishi ndio wamemfuata,kwasababu yeye ni waziri na hapo ni kuwahamasisha wananchi kuwa kwa sasa usafiri uko poa na kila raia anaweza kusafiri nao.Kwa mana nyingine ni kama anafanyia promo train yetu jambo ambalo si baya.
Nakuunga mkono, kabisa...tujali vyombo vyetu vya usafiri!
 
Bora hata Waziri Mbarawa yuko on a mission ya kikazi klk fisadi lowasa hata akishikwa tumbo anapigwa picha na Wafanyakazi wake na kurushia JF!
Hata siku ile alipokuwa mbugani akivuga anachunga ng'ombe alikuwa na wapiga picha kibao. Halafu bavichaa wakashinda hapa kummwagia misifa. Hovyooo kabisa.
 
Back
Top Bottom