TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

Baada ya mkewe kufa mwaka juzi unataka kutuambia nini? Au unataka naye tumuunganishe na kifo cha mkewe. Nilidhani mambo haya yako kwenye Saloon ya Mamakimbo tu.
Am very sorry kusema we ni kiazi,yaani unaona mtu na mkewe kufa ni kitu cha ajabu au,jingaaa kabisa wewe
 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006, kilichotokea jioni ya leo tarehe 16.09. 2021. Tunatoa pole kwa familia, Chuo chetu na Tanzania kwa ujumla. Taarifa zaidi tutaendelea kujulishana. Tumwombee apumzike kwa Amani. Amina.

Dkt. Dotto P. Kuhenga, Mratibu wa Mawasiliano na Habari, UDSM.

View attachment 1941008

=======

Professor Matthew Luhanga ndie Mwanasayansi wa Zama hizi mwenye historia iliyotukuka duniani
Na hii je?

Back
Top Bottom