Prof mark mwandosya na mwakyembe washangazwa na nyufa katika majengo ya udom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof mark mwandosya na mwakyembe washangazwa na nyufa katika majengo ya udom

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by POMPO, Apr 9, 2011.

 1. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wakuu! Leo Prof. Mwandosya alitembelea mradi wa visima vya maji katika chuo kikuu cha dodoma na kushangazwa sana na nyufa katika majengo ya U-DOM. Na kuhoji iweje majengo yenye miaka4 tu yawe na nyufa aliakua... alitegemea baada ya miaka 400.? Why not UDSM? alihoji. Nae nw wa ujezi. Dr. Mwakyembe amesema mradi wenyewe haujaisha na kwamba mradi wa ujenzi UDOM uwe unaangaliwa na wizara yake... Na kuahidi atafuatilia issue hiyo..!
  My take:
  nyufa hizo zimetokea leo ghafla ama kitambo? Wakati JK anazindua UDOM kwa mbembwe TISS hawakumueleza majengo mabovu? PINDA nae alienda 2 times, hawakusituka mpaka w wa maji?
   
 2. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Bwana mdogo POMPO tulia, ya nchi hii huyamalizi.
  Ukiambiwa kuna UDOM kadhaa kwenye wallet za mafisadi wetu utapata picha?
  Nadhani unanielewa.
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha Sigma that is the trueth bra, but Tanzanian now they are very clever, no ignorant . Wait... there is something to come very soon... ...+...= ...
   
Loading...