costercoster
Member
- Dec 2, 2018
- 66
- 46
Magufuli kama Rais ana haki ya kuteua na kuamua yupi afanye nae kazi na yupi ampumzishe. Mwandosya alikuwepo serikalini tangu enzi za Mzee Ruksa vipi hajatosheka tu?
Chuki kwa Mwandosya haitabadilisha mchango wake kwa Tanzania wala haitapunguza akili Mungu alizompa. Prof. Tenda mema nenda zako ukisubiri shukrani nakusikiliza watu kama hao utachelewaTena mm ningekuwa JPM, ningemfuta kazi siku nyingi huyu Prof. uchwara, kaiua TTCL, Airtel alifanya ufisadi na bado akawa anapinga maendeleo serikali awamu ya 5 inayofanya.. Mm ningemfyekelea mbali muda, sana.. JPM kambeba beba, mm singefanya hivyo.. unipinge pinge huku nikijua ume fisidi sana na nikuache ulipwe mshahara bure bure.. Nakufyeka kabisa
Alipewa wizara maalum kwasababu ya afya. Alikua ametumikia sana taifa lake akiwa mzima.Hivi mwandosya awe tishio kwa Magu kwa kipi hasa alichofanya Mwandosya! mi naona anabebwa tu mpaka aliwai kuwa waziri asiye na wizara maalum banah!
UmenenaMungu mbariki Mwandosya
Nguvu alionayo huyu mtu Mkoa wa Mbeya ndio kinachoumiza ccm , asingekuwa imara nadhani angetekwa
Kwanini alitengeneza Katiba Mbovu sasa?
Ukerewe Man
Tafsiri yake ni kwamba alikua Naibu Waziri Mkuu akiingia kila wizara na inapobidi kuripoti moja kwa moja kwa Rais.Kwani huyu mzee si alikuwa Waziri asiye na Wizara Maalum? JK alibeba tu inaonesha wazi hana kitu
Nafasi ya kuwa mlezi wa chuo ni yawazee....Aache kulialia ila Msekwa mzee sana hakuna vijana
Around million 9-15MHivi mishahara yao inakuwaje hao wanaokuwa kwenye bodi?
Around million 9-15MHivi mishahara yao inakuwaje hao wanaokuwa kwenye bodi?
Vijana si ndio kina Makonda?Aache kulialia ila Msekwa mzee sana hakuna vijana
Mwandosya yuko vizuri upstairs na yupo vizuri kifedha. Hana shida ya ugali wa huyo jamaa. Sifa ya Mwandosya, hapepesi Macho.Kwa hiyo mandosya ugali umemwagika ila kayataka mwwnyewe si ni juzi juzi hapa kama alikuwa anaanza kuwa na matamko matamko yake huko twiter?