johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,772
- 141,633
Na hao wote ni maustaadh!Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu
Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!
Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa