Prof. Mark Mwandosya: Kikwete aliniteua kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu hadi 2020, leo Msekwa anachukua nafasi hiyo..

Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu


Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!

Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
We nawe debe tupu. Suala siyo kutenguliwa; suala ni sababu za kutenguliwa.
 
Kasome tena katiba hakuna teuzi ambayo magifuli anashindwa kutengua.
Soma ibara 144,2 hapo.
Kasome Ibara 144, 3(b) Na 5 then mtafute Mtu akutafsirie maana ya Maneno hayo hasa kazi ya Tume itayoundwa Na Rais ikiona hoja Za kutengua Uteuzi sio Valid nini kinafuata?

Siku ya ndoa yako ukiambiwa huruhusiwi kuacha Mkeo bila ya ridhaa ya Sheikh/ Askofu Baada ya kuona hoja zako hapo unajiona Bado una Mamlaka ya kuacha Mkeo ?
 
Kasome Ibara 144, 3(b) Na 5 then mtafute Mtu akutafsirie maana ya Maneno hayo hasa kazi ya Tume itayoundwa Na Rais ikiona hoja Za kutengua Uteuzi sio Valid nini kinafuata?

Siku ya ndoa yako ukiambiwa huruhusiwi kuacha Mkeo bila ya ridhaa ya Sheikh/ Askofu Baada ya kuona hoja zako hapo unajiona Bado una Mamlaka ya kuacha Mkeo ?
Soma hapo
Screenshot_2018-12-06-22-48-49.jpeg
 
Msekwa naye hafai,

Jiwe kisha wakorofisha wakina Makamba, Kinana, Bulembo na Mabodi kule Zanzibar ambao ni vigogo huko ccm na hivi sasa anahaha kutaka kuwapoza kwa kuwapa vyeo na kutaka kuwaamisha kuwa yeye hakumtuma MUSIBA kuyasema haya anayoyasema dhidi yao!! Lakini ni ukweli usiopingika kawa huko ccm Jiwe hana salama!!

Jiwe ana wasiwasi kiasi kwamba hana imani na hata kati ya mawaziri wake mpaka amewawekea amri kwamba wasifanye ziara mikoani bila ruhusa; yote hiyo kuogopa kuwa wanaweza kufanya kampeni za kumuangusha!!!
 

Umesoma lakin hujaelewa
Katika Lugha Rahisi Rais akiwa haridhishwi na utendaji wa CAG Inaundwa Tume Na Tume ndio inaamua sio kumpa kimemo Gerson Msigwa akatoe Press release ya kutumbua

Tume ikiona Hoja Za Rais Ni Valid Basi CAG anaondolewa Na Tume ikiona hoja Za Rais sio Valid Basi CAG HAONDOLEWI Na Kama Kweli hujui Hilo tupia namba Tano ambayo umeacha kutupia Sijui Kwa makusudi Au laa!

Hii ina maanisha Tume ndio muamuzi wa Mwisho wa Ama CAG aondolewe Au Laa Na kazi ya Rais Ni kupeleka allegation Kwa Tume sio Amri
 
Back
Top Bottom