Bila kusahau vifurushi ili tujue yanayoendeleaYetu macho na masikio
Kwanini alitengeneza Katiba Mbovu sasa?ndio maana Mwl J. K aliyesema kwa katiba tuliyonayo akipatikana rais mbovu ni hatari
We nawe debe tupu. Suala siyo kutenguliwa; suala ni sababu za kutenguliwa.Prof Mwandsya pamoja Na Elimu yake yote Kumbe Hajui Rais wa Nchi hana Mamlaka ya kutengua vyeo viwili tu Kati ya vyote alivypewa Mamlaka ya ya kuteua
1) Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu Za Serikal
2) Jaji Mkuu
Kama Rais anaweza kuamka Asubuhi na kuvunja Bunge zima Na wote pamoja Na Yeye Rais wakarudi Kwenye Uchaguzi Ndo asiwe Na Mamlaka ya kutumbua Mkuu wa Chuo Cha huko MabOnde kuinama!
Hii Katiba inayomsonOnesha Mwandosya ndio hiyo hiyo imemfanya akawa Mheshimiwa
Office bado ipo.....Kwani aliemteua bado yupo madarakani?
Rais anaweza kutumbua Muda wowote Na bila ya kutaja sababu sasa hapo kipi kinamshangaza Mark?We nawe debe tupu. Suala siyo kutenguliwa; suala ni sababu za kutenguliwa.
Kasome Ibara 144, 3(b) Na 5 then mtafute Mtu akutafsirie maana ya Maneno hayo hasa kazi ya Tume itayoundwa Na Rais ikiona hoja Za kutengua Uteuzi sio Valid nini kinafuata?Kasome tena katiba hakuna teuzi ambayo magifuli anashindwa kutengua.
Soma ibara 144,2 hapo.
Hahahaha punguani wewe unayetumia makalio kula chakulaNgoja tukuweke wewe basi.punguwani wewe.
Soma hapoKasome Ibara 144, 3(b) Na 5 then mtafute Mtu akutafsirie maana ya Maneno hayo hasa kazi ya Tume itayoundwa Na Rais ikiona hoja Za kutengua Uteuzi sio Valid nini kinafuata?
Siku ya ndoa yako ukiambiwa huruhusiwi kuacha Mkeo bila ya ridhaa ya Sheikh/ Askofu Baada ya kuona hoja zako hapo unajiona Bado una Mamlaka ya kuacha Mkeo ?
Msekwa naye hafai,
Aache kulialia ila Msekwa mzee sana hakuna vijana
Soma hapo View attachment 958558
Bora angeteuliwa Mbowe!Msekwa naye hafai,