Prof. Mark Mwandosya aenguliwa Uenyekiti Bodi ya chuo cha Mwalimu Nyerere; nafasi yake apewa Stephen Wasira

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Rais John Magufuli amemteua Ndg. Stephen Wassira kuwa mweyekiti wa Bodi chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Prof. Mark Mwandosya.

Siku za hivi karibuni, Prof. Mwandosya amekuwa mkosoaji wa Serikali ya Rais Magufuli kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitter na ukosoaji wa hivi karibuni ni ule aliomwambia Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ajiuzulu kwa kashfa ya kodi ya Makontena ili ajijengee heshima kwake na serikali ya Rais Magufuli.

05D675D0-B336-43B7-BB1C-5D8AA5927670.jpeg
 
Na sisi wabongo tusipende unafiki kwasababu tu tunamchukia JPM huyu Mwandosya si ni Counselor wa OUT mbona huko ameachwa au ni chuo chake kile, tusiangalie upande mmoja tu eti amemtumbua, ndiyo kutumbuliwa huko kweliiii tutapata tabu mpaka amalize mihula yake miwili duuh
 
Mwandosya ni mkuu wa chuo Mbeya university of technology (MUST)..
Hata hivyo mtazamo wa Mwandosya na mh. Rais ni tofaut sana , Mwandosya si shabiki wa uonevu kwa hiyo hawa watu wawili hawawez fanya kaz pamoja.
Acha mawazo hayo finyu!!! Unamshabikia mwandosya wakat ndo waliolifikisha taifa hapa tulipo??? Hivi kwel mnapoandika huwa mnafiki Kweeeel??? Kwa mawazo ya namn hii tutatoka Kweeeel?? Yaan mtu ambaye katumikia ktk utumishi wa serikal lakn leo unamuona wa maana je alitoa mchango gani sasa pnd akiwa serikalin????

Hata ungekuwa ww unamfanyakazi wa ndani anaye kutukana kila sku... Hataki atumwe yale unayoyataka ww utaendelea kukaa nae???
 
Na sisi wabongo tusipende unafiki kwasababu tu tunamchukia JPM huyu Mwandosya si ni Counselor wa OUT mbona huko ameachwa au ni chuo chake kile, tusiangalie upande mmoja tu eti amemtumbua, ndiyo kutumbuliwa huko kweliiii tutapata tabu mpaka amalize mihula yake miwili duuh
OUT
Sio kweli
 
Back
Top Bottom