Prof. Maghembe na ziara ya Kijiji Kighare kesho gari la matangazo lazomewa!

Hijja Madava

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,302
1,936
Wakuu Kesho Mbunge Wa Mwanga Prof. Maghembe Atatembelea Kijiji Cha Kighare. Kinachoongozwa Na CHADEMA.

Sasa Cha Ajabu Gari Lake La Matangazo Linapita Muda Huu Na Wananchi Wanalizomea Hadi Mc Anawaomba Wamvumilie Mzee Na Waje Tu Kesho Wasimdhalilishe Mheshimiwa.

My Take: Maghembe Umechokwa Sana Achia Ngazi Mtu mzima Akivuliwa Nguo Huchutama.
 
Back
Top Bottom