Prof. Mafwenga, mtanzania anayedai kuwa na shahada saba, Masters na PhD kadhaa si mkweli, hajamaliza baadhi ya kozi za LLM na PhD. UDSM imuumbue!

Hizo elimu hana,ametakatisha elimu,education laundering
Nenda Mahakamani kamshitaki au andika barua kwa Mwajiri wake siyo hapa Jamii forum unamchafua bure; Mwajiri wake ni Hazina; Elimu yake siyo ya mbali ni IFM, Tumaini, UDSM, ESAMI/Maastricht na Open University; Kama wewe ni mkweli mtafute akuoneshe vyeti vyake; so far najiuliza anatafuta nini?

na wewe unamfuatilia nini? Umetumwa? weka elimu yako hapa ambayo ahaikutakatishwa; una kila nafasi ya kumshitaki; so far business card ni yake na ni mali yake kama inakukera si achana naye? Je kuna mahali kaomba kazi na kudanganya? Naon tunahangaika na insignifance hapa aidha ya Mafisadi na wezi wa madini na makinikia maana huyu alikuwa mkaguzi wa madini na yupo Hazina ni mtu ambaye hajifichi; Go before the court of law and prosecute him
 
Huyu jamaa alisoma Law School Cohort ya 24 but hakupiga pepa . What happened? by the way he is a very good guy yupo charming mcheshi na anapenda Sana shule. He got the brain stamina. He is a living example of "Elimu Haina mwisho"
 
Nimepigia simu muda huu na ameniruhusu niweke simu yake hewani ambayo yeye anapatikana ni 0754555666 anadai yeye ni very transparent. Nimemuuliza walimu wake akasema hawezi kuwtaja hapa ila watu waende Business School waonane na Dr Mbamba na Prof Kitindi; waende Law School waonane na Prof Majamba na Dr Nyika na zaidi Prof Luoga;

hilo la Cohort ya 24 baada ya kusoma comment hapo juu nimemuuliza anadai aliahirisha kutokana na matatizo ya mgongo na kwa ushauri wa Viongozi wake na kuwa afya yake imeimarika alifanya WPE na ICA ila hakufanya Mitihani ya Mwisho na kuwa field waork alifanyia kwa Attorney General chini ya Uangalizi wa State Attorney aitwaye Matagane na Mwakitalu; Ebu tumuache huyu Bwana ahangaike na Maisha yake; msiopenda kusoma endeleeni kutosoma;

Amekiri kusajiri MA yaani Master nyingine ya Project Monitoring ane Evaluation chuo nahifadhi kwa sasa labda kama mna hofu
 
Mbona kama huu uzi umekaa kimbeambea hivi haueleweki umeanzia wapi unaishia wapi.....kwan kaua mtu hadi aanzishiwe uzi au mleta uzi unapersonal conflict..ulipataje business card yake
 
Nami naanza kuwa na hofu na personal conflicts juu ya huyu mtu au kuna watu wana hofu na ajira zao kwani nilipata kusikia katika magroups yaliyosambaza card yake kuwa aliondolewa TRA kwa hofu za mafisadi na alikataliwa hivi karibuni kwenda huko kwa hofu ya walimu wasio na uwezo na wenye hurka ya ufisadi; Mkate kunyang'anywa na mcha Mungu huwa ni laana ambayo ingewaletea Umaskini;

Huyu Bwana card yake anayo hadi sasa kuna binti niko naye muda huu aliiomba juzi tu na kapewa card hii hii; je card hii inamuuwa nani? Ebu tuache fitna nendeni mkaprint na nyie vyeti kariakoo mkutane na Magufuli; mbona huyu bwana hakukumbwa na vyeti feki? Tuache utoto Watanzania tumuombee katika juhudi zake za kuondoa Ujinga; Mbona mnamsifu Tuntemeke Sanga yeye alikuwa na Ubongo wa aina gani? naye alidanganya?
 
omar said kibwende,
Mzee wala huhitaji tumia nguvu nyingi kujitetea kikubwa ambapo bado hujapata udaktari weka wazi unachostahili kiweke..halafu ushauri kidogo ni ulimbukeni pia kuweka hadi form six ulisoma nn imagine mugabe na degree zake 10 sijui si angechafua cv...Unapopata elimu ya juu unaheshimika kwa hilo sio ya nyuma...ukiwa dr master huiandiki, prof doctorate unaiacha ndo kugrow...vyengine vijaze kwe cv..utatufanya wanao tuandike hadi vidudu tulisomq wapi which is irrelevant
 
Ivi akiajiriwa huyu bwana anastahili mshahara kiasi gani??
IMG-20200214-WA0006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehee, imenikumbusha elimu ya mzee, Masters mbili za elimu tofauti na PHD moja, jumla degree tano. Nimezihesabu mwenyewe.
 
M
Visiting associate professor mmmh huyu prof sio mzima
An
Hii ni ID. ya ndugu Mafwenga mwenyewe hii bila shaka.

Huu utetezi wako umepitiliza, wewe ni Mafwenga mwenyewe unapigania teuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anastahili teuzi na inabidi apiganie apate kama mzee mwenzie prof Beno kutupwa ubalozini.Haiwezekani hawa wazee waelimishee tu mismaka yote nyie na tudigrii twenu mteuliwe magwiji wasage lumba tu,napongeza teuzi za magufuli za kukumbuka maprofesa na madokta watu waliokuwa wamesahauliwa sana na awamu zilizopita kwa sababu ya wivu wa kifikra eti.
 
Minaiweka kama nilivyoikuta kwenye magrpup ya whatsapp:-

Kama ni kweli amekufa basi Tanzania imempoteza mtu mwenye degree 7

Screenshot_20230919_100002_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom